honda cc 90 kwa laki tano na sabini na tano elfu

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Oct 17, 2012
153
20
habari zenu wana jamii, baada ya
kupata usafiri mpya nimeamua kuuza
pikipiki yangu aina ya honda cc90
nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es
salaam na bei yake ni laki 575,000. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami
kwenye 0688941186
 
Attachments

  • Pikipiki.jpg
    Pikipiki.jpg
    72.5 KB · Views: 326
  • Pikipiki1.jpg
    Pikipiki1.jpg
    72.3 KB · Views: 294
  • Pikipiki2.jpg
    Pikipiki2.jpg
    74.3 KB · Views: 264
  • Pikipiki3.jpg
    Pikipiki3.jpg
    74.9 KB · Views: 262
  • Pikipiki4.jpg
    Pikipiki4.jpg
    78.2 KB · Views: 262
Laki 4 cash, naona kamechoka choka angalia kiti chake, sentmiller, rangi alafu kametumika sana, samahani mkuu niko siriasi japo niko mbali ntaweka gharama za kukasafirisha. Kama laki 1. Ukikubali nipigie nikulipe fasta.
 
Ongeza hapo KIDOGO kwa kulipia tangazo ndani ya JF
 
Me nipo tayari kukupa 4laki nimeku sms tayari

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Laki 4 cash, naona kamechoka choka angalia kiti chake, sentmiller, rangi alafu kametumika sana, samahani mkuu niko siriasi japo niko mbali ntaweka gharama za kukasafirisha. Kama laki 1. Ukikubali nipigie nikulipe fasta.

Hii ndiyo bongo, hapo kwenye red sijui ni matunda ya Mulugo au ni makusudi ya serikali! Hiyo ni Side Mirror siyo sentmiller mzee.
 
Back
Top Bottom