Home of AC Milan, Official Thread

@ Sansiro Meazza...
Milan 4-0 Parma.
1. Cassano
2. Seedorf
3. Robinho
4. Robinho
 
huko Torino, wajukuu wa Bibi Lavecchia Signora wameweza kuwabamiza goli 1-0 Mabingwa wa Dunia, Ulaya na Italia yaani Inter Milan.

Goli pekee kk mechi hiyo lilifungwa na mshambuliaji aliyesajiliwa ktk dirisha dogo msimu huu hapa namzungumzia Alesandro Matri.
 
hawa wazee wamezeeka mpaka akili,Gattusso kaishia kuadhirika:sick:

Nani mzee?
umesikia alichokisema yule mzee wa Spurs kwa Gattuso?
sasa nani kazeheka akili kati ya Gattuso na kale kazee?
 
Ushekhe yahya ni kipaji mkuu:clap2::clap2::clap2:

kama hiyo kauli ni ya ushekhe Yahaya basi Sir Fergie, Wenger, Mourinho, Ancelotti, Capello, Na makocha wengine ni sawa na Sheikh Yahaya...

Kauli ya kisoka hiyo usikurupuke.
 
Dah na watawafanya vibaya white harts lane,kimbiza mbaya panda shuka.........:first:
 
Mpira ungekuwa ni kukimbia basi Jaluo toka Kenya wangekuwa mastaa ulaya...
Mpira Mipango kaka




_51282839_011285380-1.jpg


Gang Chomba na yule mshabiki wa timu za vichochoroni vipi hapa

Gatuso .... ..... ...... ..... nasikia hatacheza white Hart Lane

kwa jinsi alivyokuwa mkorofi.

 
ikicheza ktk uwanja wake wa Nyumbani klabu ya AC Milan imeishindilia bila huruma klabu ya Napoli kwa jumla ya goli 3-0.
Magoli ya Milan yaliwekwa kimiani na wachezaji Ibrahimovic, Boateng na Alesandro Pato.

Ktk mechi hiyo Milan waliwakilishwa na:
1. AbiatI
2. Abate
3. Janckulovski
4. Silva
5. Nesta
6, Jembe Van Bommel
7. Nyundo Flamini
8. Shoka Gattuso
9. Ibracadabra
10. Pato
11. Robinho

Sub:
Robinho - Boateng
Abate - Oddo
Janckulovski - Emanuelson
 
mchezo pekee ktk ligi ya serie A leo ulikuwa ni kati ya Bianconelli na Rosonelli yaani Juventus na AC Milan.

Ktk mechi hiyo Milan ilipata goli la ushindi toka kwa dikteta wa Kiungo kamanda Gennaro Gattuso ktk dakika 68 na kufanya tofauti ya pointi kuwa 8.

Ktk mechi hiyo Milan waliwakilishwa na Abiati, Abate, Janckulovski, Silva, Nesta, Van Bommel, Gattuso, Boateng Ibra, Cassano, Flamini...

Forza Milan
 
Me i will put my blames to buffon... ngoma ilishakaa mkononi iweje iteleze Christian Abbiati Alikuwa kapumzika leo mashambulizi pande zake hayakuwa kivile, ila nimevutiwa na Ibrahimovic leo
 
Back
Top Bottom