Home of AC Milan, Official Thread

mara ya mwisho wao kubeba champions league ilikuwa ni 2007.
Kuna timu kama Madrid mara ya mwisho ni 2002, Bayern 2001, arsenal na chelsea ndio ushuzi mtupu.
Je ni timu ipi kati ya hizo iko ndembe ndembe?

Siku nyingine ubakize na maneno ya akiba na si kukurupuka tu
 
hongera na umwambie kuwa hyo timu yake anayoshangilia haina historia kama Ac Milan
 
mara ya mwisho wao kubeba champions league ilikuwa ni 2007.
Kuna timu kama Madrid mara ya mwisho ni 2002, Bayern 2001, arsenal na chelsea ndio ushuzi mtupu.
Je ni timu ipi kati ya hizo iko ndembe ndembe?

Siku nyingine ubakize na maneno ya akiba na si kukurupuka tu
Umemsaidia sana kwa kumjuza hilo, japo inapitia kipindi kigumu lakini imo.
 
mara ya mwisho wao kubeba champions league ilikuwa ni 2007.
Kuna timu kama Madrid mara ya mwisho ni 2002, Bayern 2001, arsenal na chelsea ndio ushuzi mtupu.
Je ni timu ipi kati ya hizo iko ndembe ndembe?

Siku nyingine ubakize na maneno ya akiba na si kukurupuka tu

Ahaaa ahaaaaa.Maneno makali sana mkuu tarehe 28/05/2011 nakualika wembley ushuhudie mashetani wekundu wakifanya vitu vyao si vibaya ukawa mshabiki wetu siku hiyo unajua hata mashabiki wanaazimwa kwa mkopo.
 
Usifurahie mimba.
Subiri mamsap atoke na kid leba.
Mie mwenzako nshabeba hilo kombe mara 7.
na nina makombe ya kimataifa 18.
Kazi kwako wewe mwenye makombe ya kimataifa 7 halafu unadiriki kutembea kidali wazi huku unajisifu
 
Yabanike tu maini yako yakidhurika ni gonjwa sugu na tiba yake ipo Loliondo kwa Babu.
 
Thiago Silva,Alesandro Nesta,Mark Von Bommel,Boateng na Pato wamesaidia sana kupatikana kwa ubingwa
FORZA MILAN
 
Still bado inabidi kujenga timu ya kuwania Champions League
 
watu walikuwa wanawabeza sana ac milan kwamba ooh, wazee!!!!! hongereni sana ac milan
 
Klabu ya AC Milan imetwaa ubingwa wa ligi ya italia maarufu kama scudeto baada ya kupata suluhu ktk mechi dhidi ya AS Roma iliyopigwa katika dimba la Olimpico mjini Rome.

Hongera, huku yanga kule Milan, japo huku mliokota baada ya sisi kudondosha, lakini ubingwa ni ubingwa tu! Cha kuokota si cha kuiba.
 
Na Ibrahim(Zlatan) pia.

Yes but huyu jamaa simpendi kabisa na mara nyingi timu anazokwenda anachemsha hususani kwenye big games.Kama unakumbuka alianza ligi vizuri baadae akashuka na kuna game 2 alipewa red card akafungiwa mechi 6 lakini Milan walifanikiwa kuziba pengo lake
 
Ana bahati kwa vile kila timu anayokwenda inatwaa ubingwa.
 
Still bado inabidi kujenga timu ya kuwania Champions League

Yes Belo nimekusoma.
na tumeanza kazi ya kujenga ukuta kwa kuwapata Taye Taiwo na Philip Mexes.

Sasa tunaelekea kwa Ganso
 
naona inter alitangulizwa na baiskeli ya mbao dereva sneider kuvika kilima ibrahimovic kona ya boateng pumzi imekata.......napata hisia msimu huu ac milan watafanya vizuri sana!
 
Pato ailikuwa anawatukana wachina au?
PATO.jpg
 
Back
Top Bottom