Homa ya mapafu ya mbuzi

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
62
Homa ya mapafu ya mbuzi (HMM) ni ugonjwa hatari wa mbuzi unaosababishwa na Mycoplasma capricolum subspecies capripneumoniae (Mccp). Ugonjwa huu unajidhihirisha kwa dalili zifuatazo; kupumua kwa shida, homa kali (nyuzi 41 - 43 za sentigredi), kukohoa, kutiririsha mafua, usambaaji wa haraka na vifo vingi kwa mbuzi wa umri wowote na jinsia zote pamoja na kutupa mimba kwa mbuzi wenye mimba.
Jisomee zaidi hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA ili ujue dalili na jinsi ya kukabiliana nao.
 
Back
Top Bottom