Hoja nzito: STRABAG wanachimba madini barabara ya kwenda Tanga, Segera, Korogwe

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Heshima mbele.

Wakuu hili jambo ni zito na halivumiliki hili linasemwa live na watendaji wanaosimamia bara bara hiyo;bwana Musa Ally mkazi wa segera anasema hawa jamaa wanajifanya kila siku wanatengeneza kipande hiki hiki lakini wana lao jambo ikifika usiku wanachimba madini yetu wananchi tumelalamika sana mwisho tumechoka tunaiachia serikali jambo hili hata mbunge wa eneo hili tulishamfahamisha lakini hakuna kinachoendelea na nakutaarifu kwa mwendo wao bara bara hii haiwezi kuisha leo kila siku wapo pale pale tu

Naomba ikiwezekana wataalamu wa mazini wizara ya Nishati na madini wachunguze vizuri mali za watanzania zinavyoibiwa na wasiopenda maendeleo!

My take hata kwa macho wa Tanzania tunaona ni kweli kwa nini barabara hiyo haitengenezwa kwa spidi kama ilivyo hii ya dar es samam
 
Heshima mbele.
Wakuu hili jambo ni zito na halivumiliki hili linasemwa live na watendaji wanaosimamia bara bara hiyo;bwana Musa Ally mkazi wa segera anasema hawa jamaa wanajifanya kila siku wanatengeneza kipande hiki hiki lakini wana lao jambo ikifika usiku wanachimba madini yetu wananchi tumelalamika sana mwisho tumechoka tunaiachia serikali jambo hili hata mbunge wa eneo hili tulishamfahamisha lakini hakuna kinachoendelea na nakutaarifu kwa mwendo wao bara bara hii haiwezi kuisha leo kila siku wapo pale pale tu
Naomba ikiwezekana wataalamu wa mazini wizara ya Nishati na madini wachunguze vizuri mali za watanzania zinavyoibiwa na wasiopenda maendeleo!
My take hata kwa macho wa tz tunaona ni kweli kwa nn bara bara hy haitengenezwa kwa spidi kama ilivyo hii ya dar es samam
unadhani mpaka wewe umefikia kujua yenyewe haijui!? ..Bora muachie Mungu!
 
wanachimba madini gani?

Ila hakuna cha ajabu, shamba la bibi hili........ Usikute kuna mtu keshapewa cha juu
 
Heeeee kuna madini barabarani? tanzania madini mpaka vyumbani wallah
 
serikal yetu ni sikivu sana tena sana, taarifa zimefika subiri utendaji!! hivi mkuu wakaya atakuwepo kweli au kashasafiri kwenda kwny mazishi ethopia?
 
Mkuu Hata Mawe / Granite ni madini mkuu ila hayana thamani Kubwa!! Ungetutaarifu ni Madini Gani Umeyaota ingesaidia Kidogo Mkuu!!
 
Ndio shida ya Internet kila taahira anandika tu, mtu anakuja na hoja, fulani anaiba madini yetu unamuuliza madini gani hajui sasa unajiuliza amejuaje kama wanachimba na kuiba mdini?
Ndio maana mimi naamini sehemu kubwa sana ya mambo yanayovuma nchini mwetu ni uzushi na uongo na ukifwatilia kwa undani kidogo utakuta ni uzushi tuu!

Tumekupata.Tunasubiri Waziri Magufuli,Mwakyembe na Waziri wa Nishati na Madini waifanyie kazi hoja yako mapema iwezekanavyo.
 
umeanza kwa kusema una hoja nzito, lakini uzito wa hoja yako hauonekani maana umeshindwa kuweka wazi ni madini gani hayo yanayochimbwa, pia ungesema hiyo barabara imeanza kujengwa mwaka gani na ina km ngap labda ili tujue speed ya ujengaji ipoje umeshindwa kutupa ushahidi wa taarifa yako basi hata picha kuweka nayo imekushinda? huenda kuna ukweli ndani ya taarifa yako funguka vizuri basi mkuu
 
Hii thread ni ya muda mrefu. Swali langu ni je barabara imekamilika au bado? Kama bado hapo bado wanachimba madini tu. Ebu aliye karibu alete data
 
Wanaofaidika ni wazawa tu maana ndio wanaoendesha mitambo ya kuchimba na sidhani kama watadhubutu kuchimba mbele ya hao mainjinia kutoka nje
 
Ndio shida ya Internet kila taahira anandika tu, mtu anakuja na hoja, fulani anaiba madini yetu unamuuliza madini gani hajui sasa unajiuliza amejuaje kama wanachimba na kuiba mdini?
Ndio maana mimi naamini sehemu kubwa sana ya mambo yanayovuma nchini mwetu ni uzushi na uongo na ukifwatilia kwa undani kidogo utakuta ni uzushi tuu!

Hata kokoto ni madini mkuu
 
Simple tu na waende wakavamie wayachukue wao hayo madini tuone kama hao strabag watazuia au serikali itazuia! ndio shida yetu watanzania majungu na uzushi tu !
 
Back
Top Bottom