Hoja nzito: STRABAG wanachimba madini barabara ya kwenda Tanga, Segera, Korogwe

Ndio shida ya Internet kila taahira anandika tu, mtu anakuja na hoja, fulani anaiba madini yetu unamuuliza madini gani hajui sasa unajiuliza amejuaje kama wanachimba na kuiba mdini?
Ndio maana mimi naamini sehemu kubwa sana ya mambo yanayovuma nchini mwetu ni uzushi na uongo na ukifwatilia kwa undani kidogo utakuta ni uzushi tuu!


Kweli kabisa mkuu! Halafu tunalalamikia ile sheria badala ya kuondoa kwanza upuuzi kama huu.
 
Back
Top Bottom