Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

Status
Not open for further replies.
Wapendwa siamini kama ili linaukweli hasa katika wakati huu ambapo watu wengi hasa hasa vijana wanaelimu ya kutosha ya duniani na mbinguni. Udhaifu wa mtu mmoja mmoja si busara kuwa ni udhaifu wa kabila au jamii. Hata hivyo mtu makini daima uweza kumsaidia mwenzi au mpenzi wake kutoka katika udhaifu alionao.
Napenda niwaachie ujumbe huu ufuatao nikiamini kwamba hakuna mantiki kabisa katika jambo hili bali ni ubatili mtupu.
Remember, "God chose the foolish things of the world to shame the wise;
God chose the weak things of the world to shame the strong. God chose the
lowly things of this world and the despised things-and the things that are
not-to nullify the things that are, so that no one may boast before Him."
 
Absolutely, umenena iliyokweli.
 
Mimi si mpenzi wa jukwaa hili, lakini katika pitapita zangu macho yangu yamekutana na uzi huu, Re: "Mademu wakichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri;" nimebaki kuduwaa na kushika tama, kwa vile naona inagusa haki fulani za wastaarabu na heshima kijamii bora nichangie kidogo.

Kitu cha kwanza maana ya mapenzi watu wanachanganya na ufuska. Kwa mtazamo huo wasichana wachaga si wafuska ila wanamapenzi kwa wampendao. Maana yangu ni kwamba fuska huridhika na mpenzie au mumewe kwa masuala ya sex badala ya moyo kupenda. Fuska asiporidhika atahangaika na kutangatanga huku na kule hadi aridhie tamaa zake kwa kiwango anachotaka, na atakayempata anampenda au la si hoja kwake ili mradi azime kiu ya silika mwilini mwake.

Upendo wa kweli kwanza kuwa pamoja na ampendaye ni shibe tosha, na mengine ni viungo kwenye pilau. Hata kitabu cha wimbo ulio bora kinasema: "upendo una nguvu kama mauti; maji mengi hayawezi kuzimisha upendano; mpendwa wangu ni wangu na mimi ni wake; nk." Huu ndio upendo tunaouzungumzia ambao hujengeka kati ya wawili na kushamiri katika mengi, kwani mapenzi si ufuska ambo mlengo wake ni sex tu, kwani sex ni sehemu tu ya mapenzi kwa vile mapenzi ni mlolongo wa mambo mengi yanayowafikisha watu kufikia huko kwenye kilele. Ole ukijenga mapenzi katika sex tu mapato yake ni kutodumu na mara baada ya kutimiziana misukumo ya silika kila mmoja anaondoka na njia yake bila kukabidhiana hati za talaka, why? haina mizizi, na maungo yameridhia yaliyotaka wamelipua kazi. Maana maridhiano yenu ni kuridhishana sex si kupendana kati yenu.

Kwa wenye uelewa wa Maandiko matakatifu kuna aya zisemazo: "Iheshimuni miili yetu, je, hamjui kama miili yenu ni mahekalu ya Roho Mtakatifu?" Kwa mtazamo huo wapenzi kitu muhimu cha kwanza ni heshima kwa miili yao wenyewe. Ufuska ni kujichosha bila kujali afya ya mtu , upendo wa kweli, na nguvu ya afya ya mtu kubaki na nguvu za kuitumikia familia na jamii yake. Hii kazi ya mabao mengi ndio ufuska, na kuchoshana, na kutwishana lawama zisizo za lazima, lakini kwa wenye kujali upendo kamili katika maisha yao na kujali afya zao wataelewa maana ya ninayoongelea. Hii ndiyo sababu ya baadhi ya madhehemu ya dini kabla ya ndoa kuna semina ya kuwafunda maana yamaisha ya ndoa, namna ya kulinda heshima za ndoa, namna ya kulinda afya yao, mapenzi yafanyike kwa kujali afya zao na namna ya kujenga familia bora katika maisha yao ya ndoa.

Wasiojali na kuheshimu miili yao na kuona ufuska ndio msingi wa mapenzi ndio wale wanaofikia hata kufanya mapenzi kinyume cha maumbile kitu ambacho hata mnyama hayawani anayetumia
silika hafanyi. Sijapata kuona mnyama atafanya sex kwa kutumia viungo vya mdomo au haja kubwa, lakini wafanya ufuska ndio wanavyojirithia kufanya hivyo wakati wana akili zao na utashi. Huu ni utumwa katika kuitumikia miili na silika bila self control.

Kwa walioleta mada ya kuwakandia wasichana wa kichaga kwamba hawajui mapenzi, wamekosea, mimi nimewaona hawa wanajua sana maana ya mapenzi na kujali afya zao na imani zao, na kwa maneno mengine hawapendi kufanya ufuska ila kuridhia upendo wa kweli. Nilipoishi katika nchi fulani nje ya nchi nilipata kuwafahamu vizuri wasichana wa kichaga kuliko nilipoishi na ninapoishi Tanzania.
Wasichana wa kichaga wengi wao walikuwa best friends na kuniomba niwape lift niwapeleke kanisani siku za jumapili, tofauti na baadhi ya wasichana wa makabila mengine baada ya kufika nchi za nje tu ilionekana dini ni kama walilazimishwa walipokuwa bongo, kufika nje wanajisikia huru zaidi.

Binafsi nawatete wasichana wa kichaga ingawa mie si mchaga. Ni wavumilivu sana wakimpenda mwanaume, wana heshima na ustaarabu ambao wanamjali rafiki kama kaka yake. Katika urafiki wasichana wa kichaga wanatanguliza ustaarabu tofauti na baadhi ya wasichana wengine ambao kuwa marafiki maana yake mahusiano ya sex, na wakiona mwanaume huna maelekeo ya sex basi wanaanza kumtelekeza, hii ni kasoro, tujifunze kwa wasichana wa kichaga. Mapenzi mazuri kwa wapendanao si idadi ya mabao kwa mkupuo ila moyo wa upendo wa kweli na kujali future ya maisha yao kimaisha. Sex za mabao mengi hazitujengei maisha mazuri, uchumi mzuri, nguvu za kutosha kufanya kazi nk, bali hudhoofisha nguvu na kufikiria mapenzi ni sex na starehe badala ya maana pana ya upendano wa wapendanao.

mimi nshawaona wanyama wakifanya mapenzi kwa mdomo i.e mbuzi beberu,upo hapo?
kwenda kanisani ww umewaona wachaga tu huko nje? acha unafki ww!!

MENGINE UMEJITAHIDI SANA LAKINI UNAONEKANA MLOKOLE NA KUSAHAU BIOLOGY(CLIMAX)
 
Wasichana wa Kichagga Mapenzi zero! 100% true! Ukisex na msichana wa kichagga ana lala kama gogo! No style! No other buzz! Ni fanya tu ukimaliza funuika babaangu! Ninachopendea wasichana wa kichagga ni waaminifu kweli kwenye ndoa! Sex tena with another man ndo haiko kabisa kwenye akili zao!
 
Wadada wa kichaga wanapenda sana hela, yaaani mpaka wengine wanauza utu wao hivi hivi.
 
Mh, hii ni kama zile sredi za ubaguzi, weusi wabaya, weusi wavivu, wanawake weusi sio warembo, weusi hivi, ama kweli Wadhungu wametuweza kwa shule ya kutuharibu jinsi ya kufikiri. Hii iko kwenye level ya kabila na kabila sasa sio race fulani kwa nyingine. Nashindwa kuelewa haka ka zambi katatutoka lini sie ?
 
mimi nshawaona wanyama wakifanya mapenzi kwa mdomo i.e mbuzi beberu,upo hapo?
kwenda kanisani ww umewaona wachaga tu huko nje? acha unafki ww!!

MENGINE UMEJITAHIDI SANA LAKINI UNAONEKANA MLOKOLE NA KUSAHAU BIOLOGY(CLIMAX)

Dah nakuona umeenda mbali mno badala ya kujadili hoja uliyoletewa nikupe credit. Ninyi ndio wale wakishindwa mitihani hawakawii kulaumu watahini na wasahihishaji. Tatizo unatoka nje ya mada.

Ungeniweka kwenye kundi la wenye maadili ungefanya sawa kwa sasa umeegemea kwenye imani, yaliyojilia ndani ya mapambizo ya hoja ni dondoo za kujenga hoja mwenzangu.
 
Wasichana wa Kichagga Mapenzi zero! 100% true! Ukisex na msichana wa kichagga ana lala kama gogo! No style! No other buzz! Ni fanya tu ukimaliza funuika babaangu! Ninachopendea wasichana wa kichagga ni waaminifu kweli kwenye ndoa! Sex tena with another man ndo haiko kabisa kwenye akili zao!

Kwa mtazamo wangu ulipotea njia kama ulikuwa unamtafuta msichana wa kichaga kwa malengo ya haja uliyokuwa nayo, ungemwuliza kwanza na kujieleza unachotaka nadhani usingejiingiza kichwa kichwa. Unapomwendea mtembeza bidhaa mitaani kwa siku anachakaza kandambili zaidi ya moja tofauti na anayeshinda na bidhaa kwenye kiok.
 
Dame
1. woman or girl: a term for a woman or girl (often considered offensive)

Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008 Microsoft Corporation. All rights reserved.

Sidhani kama ni kweli ulichokindika in Cambridge Advanced leaners dictionary Dame means a woman (slang) or a title used in front of a woman's name which is given in Britain as a special honour, usually for valuable work done over a long period, or a woman having this honour. I think a word was borrowed in that perpective na likaingizwa kwenye swahili slang, watu wanalipa negative connotation lakini si kweli
 
Mh, hii ni kama zile sredi za ubaguzi, weusi wabaya, weusi wavivu, wanawake weusi sio warembo, weusi hivi, ama kweli Wadhungu wametuweza kwa shule ya kutuharibu jinsi ya kufikiri. Hii iko kwenye level ya kabila na kabila sasa sio race fulani kwa nyingine. Nashindwa kuelewa haka ka zambi katatutoka lini sie ?

Ubaguzi au kuongelewa kunamaanisha ni wazuri
 
Japo hii inatupendelea was it necessary? Maana nnachoana ni majadala kuelekea kule kule tulipokua kwenye ile thread nyingine.

Mara moja moja watu wawe wanaongelea makabila yao nayo yauze jina, sie tushatambulika vya kutosha.

Ni kweli nyie wachagga juu mmejazia na chini miguu ka chelewa miembamba?
Vp kuhusu swala la kunako 6x6 hamjishughulishi kweli?
 
Wasichana wa Kichagga Mapenzi zero! 100% true! Ukisex na msichana wa kichagga ana lala kama gogo! No style! No other buzz! Ni fanya tu ukimaliza funuika babaangu! Ninachopendea wasichana wa kichagga ni waaminifu kweli kwenye ndoa! Sex tena with another man ndo haiko kabisa kwenye akili zao!

Lazima wawe waaminifu kwa sababu wengi ni wabaya wa shape ila sura wanajitahidi. Wanaume wa kiafrika mara nyingi tunapenda wanawake wenye ass zilizojaaliwa na miguu ya chupa za pia za kibongo. Sio utani mademu wengi wa Kichagga wamejaa juu, chini wembamba, miguu kama spoke za baiskeli. Hasa wamachame ndia acha kabisa, utadhani wanafanya mazoezi ya kunua vitu vizito. Kwa hiyo wakipata mwanaume wanatulia kweli, kwani kucompete na folk zingine hawawezi. Ila wapo wazuri wanatokea mmojammoja na wakitokea ni wazuri kweli. Mtoto kama Nsia Swai huwezi amini kama unatoka uchaggani aithe!
 
Bwana mkubwa unaposema unapinga na mimi nakupinga wewe una imagine mimi na evidence kuwa mademu wa kichaga wazuri kwa sura mapenzi sifuri full stop.
 
Wasichana wa Kichagga Mapenzi zero! 100% true! Ukisex na msichana wa kichagga ana lala kama gogo! No style! No other buzz! Ni fanya tu ukimaliza funuika babaangu! Ninachopendea wasichana wa kichagga ni waaminifu kweli kwenye ndoa! Sex tena with another man ndo haiko kabisa kwenye akili zao!

Pamoja na kuegemea upande wa negative aspect, lakini comment yako imejaa positive aspect ambayo inamjengea heshima msichana wa kichaga. Umeeleza kwamba wasichana wa kichaga ni waaminifu katika ndoa na hata akiwa na bf ni mwaminifu, hilo ni jibu sahihi na ndio hulka nzuri inayotakiwa kuigwa.

Kwa comment yako umekubaliana nami kwamba hawa ni wastaarabu na wana mapenzi ya kweli tofauti na wale wafanya ufuska.

Si watu wote walikomaa misuli wanaokimbiza mipira pale stadium, ndo hao waliokomaa misuli ni wale tunaowaiga mitandaoni na wale wanazunguka na kujianika mitaani kuchukuliwa na kila mpita njia anamjua au hamjui ili mradi amelipwa ujira. Hao wa aina hiyo ndio wako tayari kukimbia uwanja mzima kuhakikisha goli linafungwa, maana bila goli kutinga wavuni dau hakuna au dau linashuka.

Nakupa pole ukioa msichana mwenye kuzoea mbio za maratoni, utajuta kuzaliwa, na ni wachache wanaoweza kukimbizana nao. Mwanariadha anahitaji mazoezi kila siku mchana na usiku ili aweza kumudu mbio za maathoni. Wastaarabu wana staha zao, heshima zao, kujali afya zao, huku kugeuzana na kupinduana kana kwamba samaki hajakauka upande wapi umgeuze akaushwe na upande mwingine tuwaachie wenyewe. Hivyo wasichana wa kichaga wana limit ya matanuzi ndo maana yake wanajali penzi na staha ya afya pamoja na ustaarabu wa kuheshimu miili yao.

Jamani natafuta msichana wa kichaga naona heshima itapanda zaidi, vinginevyo hawa wengine nitaishia kuutumikia mwili wangu katika madhaifu yake hata unikoseshe kufikiria nini nifanye kwa ajili ya kustaafu kwangu, maana ujana nao hutufanya kana kwamba maisha haya hayana mwisho, tunakuwa na upeo mkubwa mno wa mwelekeo wa matanuzi na maraha yasiyoisha. Ukipendelea hivyo matanuzi yasiyoisha yanaweza kukukodesha mtu hata ukakosa amani maana zaidi upatavyo ndivyo utamanisvyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom