Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
asante sana.mkuu candid scope ni kweli maelezo yako kuhusu mapenzi, mapenzi ya kweli yana heshima yake na ndilo nionalo kwa wasichana wa kichaga!!!!!!!!! Wachaga hawajipeleki faaa, ua kujirahisisha mara nyingi ingawa si wote wanaangalia mtu aliye serious kwenye huo uhusiano wa mapenzi!!! Ni wakarimu lakini wanajijali wanajiheshimu sio limbukeni wanachagua ni makini, coz uhusiano wa mapenzi matokeo yake sahihi ni kuoana sikufanya umalaya kulalana ovyo!!!!! Tabia hizo za wasichana wakichaga zinawapatia wanaume waliotayali kuoa na si vinginevyo!!!!!!!!