Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

*WATANZANIA TUWE MACHO NA WAMAREKANI NA WASHIRIKA WAO.*

Kwa tabia za Marekani hasa pale wanapokuwa hawakubaliana na baadhi ya mambo kwa Taifa fulani hii ni mbinu ambayo huitumia ili kudhohofisha Serikali kwa kuwatisha Watalii, wawekezaji, Wafanyabiashara na hata wananchi wenyewe. Yapo maeneo ambayo hufikia hata hatua ya kutekeleza mashambulizi yenyewe ili mradi ionekane nchi hiyo sio salama na Serikali inashindwa kusimamia usalama wa nchi yake.

Huu ni ukoloni wa kupigiwa mfano na haukubaliki hata kidogo.

Najua wapo wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania ambao kwa umbumbu na ubinafsi wao watashangilia na kuunga mkono kinachofanywa na Marekani lakini Watanzania ni lazima tuwe macho na jambo hili.

Wamarekani ni wazuri sana kwenye kuharibu amani na uchumi wa nchi ambazo wanalazimisha maslahi yao. Na hutumia mbinu hii hii ya kuwatumia watu wa ndani na hapa kwetu wanatumiwa wanasiasa wa vyama vya upinzani. Walifanya hivyo Libya yanayowakuta Libya leo kila mtu anayaona, wamefanya Tunisia na kwingineko.

Watanzania tuvisikilize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, na bahati nzuri tayari vimeshazungumza kuhusu jambo hili. Tuwaambie wawekezaji, wafanyabiashara na watalii ambao wanakuja kwetu Tanzania kuwa nchi yetu ipo salama na vyombo vya ulinzi na usalama vipo na vinaendelea na majukumu yake ya kila siku ya kulinda usalama wa nchi na watu wake. Hata siku moja jukumu la ulinzi wa nchi yetu halijawahi kuwa mikononi mwa Wamarekani na nchi yetu ina historia ya kuwa kisiwa cha amani na utulivu.

Kwao Marekani kila uchao watu wanauawa kwa kupigwa risasi, tena ni nchi ambayo silaha za moto zinauzwa kama saa ya mkononi. Silaha zimezagaa kila mahali na mauaji ya kutumia silaha yametamalaki lakini hata siku moja Balozi wa Tanzania hajawahi kutangaza hali ya hatari katika Marekani.

Huu ni uhuni.

Wasituvuruge.
Mkuu Egnesious, asante kwa hii, hii ilipaswa kuwa bandiko linalojitegemea.
P
 
Na, Ibrahim Haroub Geveva

Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania.

Mwaka 1998, hao ndugu walipigwa na hawakutoa tahadhari yoyote Dar es Salaam wala Nairobi. Nakumbuka nilikuwa Sudan wakati huo katika shughuli za Kanda ya Mashariki ya UN.

Hakukuwa na taarifa zozote za tahadhari kama huu uzushi. Jiulize kwa nini leo wametoa, tena siku ya Bajeti ya Nchi inapojadiliwa, Siku ambazo Watalii wengi wanakwenda kwa makundi makubwa Tanzania, Kuna nini hapo kimefichika?

Nimemuuliza Mtoto wa Shemeji yangu anayefanya kazi Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam, amethibitisha hata Ubalozi wenyewe umeshangazwa na aliyechapisha taarifa hiyo katika mitandao ya kijamii bila kujiridhisha.

Wanahojiana, hivi walishindwa hata kuwapatia Polisi Oysterbay wachunguze? Au hata wale walinzi wa pale FFU au G4S ambao wanalinda Ubalozi wao?

Walishindwa kuwapa JWTZ? Walishindwa kuwapa Usalama wa Taifa waseme wanayojua? Je huu sio ujasusi uliopindukia katika nchi za wenzao?

Hayo maswali lazima yawasukume Wamarekani kuwaomba radhi washirika wao katika masuala ya Kiusalama. Kuna Mikataba ya Kimataifa inayowataka kushirikiana na vyombo vya ndani ya nchi husika wanapofuatilia mambo yanayohusu masuala ya ndani ya nchi.

Wamarekani hadi wanatoa kauli, walituma wachunguzi wao Masaki?Je, waliomba kibali Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania au hata Umoja wa Mataifa? Wanatumia njia gani kuchunguza mambo nchini Tanzania hadi kutoa kauli ya namna hiyo?

Nani amewathibitishia huko mitaani hizo taarifa hadi kuchapisha katika tovuti yao? Tujiulize sote haya maswali.

Hivi Balozi wa Tanzania nchini Marekani hata akiwa na taarifa yoyote ya nchi hiyo ndio atoke kwa umma pale Washington DC kutangaza anachojua kuhusu Marekani? Sisi watu wa Diplomasia tunahoji, hiyo ni diplomasia ya wapi?

Basi ukiona hivi kuna jambo wanatengeneza kwa makusudi, si vinginevyo. Watanzania AMKENI.

Marekani, waombeni RADHI Watanzania na lazima mjenge tabia ya kufanya kazi na vyombo vya dola vya Tanzania katika kazi zenu. Umoja wa Mataifa unafuatilia jambo hili kwa karibu
Ujumbe na tambo zako tumezipata kumbe mwenzetu uko GENEVA,wafanya kazi UN,unashemeji yuko ubalozi wa marekani kule TZ,ulishakuwa mpaka SUDAN,mhhhh hujatuambia lini ulienda kwenu KAGERA kusalimia na kula senene!!!!
 
Hivi kuna nchi ambayo watu wanaua raia wenzao kwa bunduki kuliko marekani? Miez michache ilopita mwanafunzi mmoja aliua wanafunzi wenzake zaidi 20 huko, intelejensia yao mnayosema ni bora ilikua wap? Au wanaona mengi ya tanzania kuliko yao..??

Tusiwe mbumbumbu ni lazima kujifunza kusoma "between the lines " na kujua propaganda za wenzetu
 
Watanzania wanakumbu kumbu fupi. Mtoa mada hajatafakari vema

1. Shambulizi la Nairobi na Dar 1998 hatukuweza kujua nani alipanga. FBI wakafanya mambo yao. Walikuja Dar, wakaenda kumbeba mhusika Ilala, wakaelekea Ubungo kwa fundi aliyeunganisha vyuma bila kujua ni Bomu.

2. Hawa jamaa wana intelligence kwa maana halisi ya intelligence.
Fuatilia walivyomuua Osama utajua intelligence yao ni ya kiwango gani

3. Hawa jamaa wana ushirika na mataifa mengine. Kuna ushirika wa NATO, kuna 5 eyes n.k.
Taarifa inaweza kuwa intercepted kutoka kona tofauti duniani na wao wakaipata
Hawahitaji kuingia mtaani Dar, wao wanamiliki taarifa za dunia

Mtu anayehoji taarifa hizo wamezipata wapi kwakweli inachekesha sana.
Watu walikuwa US wanamfuatilia Al Zakhawi Iraq hadi wakamuoza mke na mwisho wakampata, iwe taarifa kama hii!!

Wala mtu asidhani eti kwasababu ni wazungu, la hasha, walioishi miaka hiyo akina JokaKuu Mag3 wanakumbuka intelligence yetu ilivyokuwa kali.
Intelligence ya nyakati hizo pengine hao watu wangekuwa wameshakamatwa

Pascal Mayalla
 
Hivi wewe ukiambiwa ulindwe na askari WA tz au wa marekani utakubali wapi?

Wenzetu hawana siasa kwenye issues zinazowagusa raia wao maana walishang'atwa na nyoka wanajua uchungu wake.

Tushukuru Sana wametoa taarifa mm nimefurahi kumbe tupo salama na kuna zaidi ya ulinzi huu tunaoujua sisi hapa tz.

Hii ndio maana ya USA kuitwa superpower.
Safi Sana.
Hivi unajua takwimu ya matukio ya kigaidi ndani ya marekani kwa mwaka?
 
Mkuu Rukia Mbonde,
Asante huu ndio uzalendo, pia asante kwa mzalendo Ibrahim Haroub wa Geveva
P
Pascal,kwa level yako sikutegemea ulichukulie hili kisiasa,polisi wamesema taarifa wanazo na wamesha suppress, hawa jamaa mbona huwa wanatoa taarifa mara nyingi,hii si mara ya kwanza kwao,tuache serikali ifanye kazi,wanajua cha kufanya,sisi tuache kusambaza uoga kwa watu,lakini inawezekana hizi taarifa kusambaa kumesaidia kwa namna moja au nyingine
 
Mkuu Rukia Mbonde,
Asante huu ndio uzalendo, pia asante kwa mzalendo Ibrahim Haroub wa Geveva
P

mimi ninachoona hapa hakuna uzalendo ila ameshindwa kufikiria hili jambo ktk mapana yake maana kuna taarifa inasema kuwa Police-Dsm wanazo taarifa za hayo mashambulizi wanazifanyia kazi.
Sasa unaweza kuta USA Embassy ilizipeleka kwa vyombo vya ndani siku nyingi ila kwa kua sisi tunajua sana na kutoa tahadhari ni ishara mbaya kwetu, wakashauriana kukaa kimya. Rejea issue ya Mwele Malechela.

USA wameona risk inaongezeka wakaamua kuwatangazia raia wao - hapa issue sio utalii bali ni usalama kwanza na km USA wangekua na lengo la kuminya utalii wangewambia raia wao ata kabla ya kuingia TZ

Jamani juzi juma4 kuna mzungu mmoja alikua anamtafuta Rais Magufuli jioni saa12 eti yeye ni muwekezaji sekta ya madini toka Czech Republic - tusichukulie pouwa
 
Kwa ujuzi wangu ni kwama katika mambo ya security tahadhari yoyote unatakiwa uichukulie 100% na uchukuwe hatua bila kujali kwanza kweli au hapana, security hutakiwi kuchukulia unavyofikiria wewe hapana ni kwamba nimeambiwa kutakuwa na wizi unatakiwa kuimarisha tahadhari zote. nadhani sio sawa kuja public na kusema tu hakuna kitu hili ni jambo ya level ya juu mkubwa wa usalama ni kazi yake kuchukuwa hizi taarifa kutoka ubalozi na kuufanyia kazi in details maana hawa wametaja mpaka maeneo ina maana taarifa ziko ukipata unafanyia kazi kitaalamu. ni kama kwenye mikutano huwa tunasikia intelejensia inasema kutakuwa na fujo so hakuna mkutano na huku tuchukulie the same tahadhari
 
Na, Ibrahim Haroub Geveva

Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania.

Mwaka 1998, hao ndugu walipigwa na hawakutoa tahadhari yoyote Dar es Salaam wala Nairobi. Nakumbuka nilikuwa Sudan wakati huo katika shughuli za Kanda ya Mashariki ya UN.

Hakukuwa na taarifa zozote za tahadhari kama huu uzushi. Jiulize kwa nini leo wametoa, tena siku ya Bajeti ya Nchi inapojadiliwa, Siku ambazo Watalii wengi wanakwenda kwa makundi makubwa Tanzania, Kuna nini hapo kimefichika?

Nimemuuliza Mtoto wa Shemeji yangu anayefanya kazi Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam, amethibitisha hata Ubalozi wenyewe umeshangazwa na aliyechapisha taarifa hiyo katika mitandao ya kijamii bila kujiridhisha.

Wanahojiana, hivi walishindwa hata kuwapatia Polisi Oysterbay wachunguze? Au hata wale walinzi wa pale FFU au G4S ambao wanalinda Ubalozi wao?

Walishindwa kuwapa JWTZ? Walishindwa kuwapa Usalama wa Taifa waseme wanayojua? Je huu sio ujasusi uliopindukia katika nchi za wenzao?

Hayo maswali lazima yawasukume Wamarekani kuwaomba radhi washirika wao katika masuala ya Kiusalama. Kuna Mikataba ya Kimataifa inayowataka kushirikiana na vyombo vya ndani ya nchi husika wanapofuatilia mambo yanayohusu masuala ya ndani ya nchi.

Wamarekani hadi wanatoa kauli, walituma wachunguzi wao Masaki?Je, waliomba kibali Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania au hata Umoja wa Mataifa? Wanatumia njia gani kuchunguza mambo nchini Tanzania hadi kutoa kauli ya namna hiyo?

Nani amewathibitishia huko mitaani hizo taarifa hadi kuchapisha katika tovuti yao? Tujiulize sote haya maswali.

Hivi Balozi wa Tanzania nchini Marekani hata akiwa na taarifa yoyote ya nchi hiyo ndio atoke kwa umma pale Washington DC kutangaza anachojua kuhusu Marekani? Sisi watu wa Diplomasia tunahoji, hiyo ni diplomasia ya wapi?

Basi ukiona hivi kuna jambo wanatengeneza kwa makusudi, si vinginevyo. Watanzania AMKENI.

Marekani, waombeni RADHI Watanzania na lazima mjenge tabia ya kufanya kazi na vyombo vya dola vya Tanzania katika kazi zenu. Umoja wa Mataifa unafuatilia jambo hili kwa karibu
vipi mnataka kula hela za rambi rambi sio hamtupati ngoo na huko leo hatuendi tumeshapewa tahadhari nyie kila kitu ni siasa hata maisha ya watu unaandika nakala ndefu kumbe uko uswis ilikua inatakiwa ukiwashauri watu hivyo uwe eneo la tukio
 
Wasiojulikana wanaweza kujikamata wenyewe kwa wenyewe?!
Wanaopinga mmarekani kutoa tahadhari ndiyo magaidi wenyewe,hata kwenye basi unaambiwa funga mkanda hapo swala ni kufunga mkanda hutaki nenda slip way kawasubiri huko.Nimechoshwa na siasa za kipumbavu.Hapo masaki mnakaa wabongo Tu wageni kibao hawajui Kiswahili nawala hawasomi magazeti ya futuhi wala kuangalia Tbccm wao ni CNN Tu kwanza lugha iliyotumika niyakwao wewe unapekenyua kuja hapa na mapovu habari ubalozini zina kuhusu nini kuzipinga pale ni mmarekani kideplomacy.Wenye akili tunajiona tunabahati kupata tahadhari hiyo,Kwani ni ya viwango.
 
Mkuu Kiyawi huyu alieleta mada ya kukanusha huenda akawa ni mmoja wa wanaotaka kufanya hayo mashambulizi. So amekimbilia huku kukanusha hizo habari ili watu wapuuze aweze kufanya yake yeye na genge lake, au ni politician njaa kama ulivyosema hapo juu.
Hata jina lake linasadiki, ndio hawa hawa wanaovaa vibagarashia na suruali futi pamoja na sandals.
 
Na, Ibrahim Haroub Geveva

Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania.

Mwaka 1998, hao ndugu walipigwa na hawakutoa tahadhari yoyote Dar es Salaam wala Nairobi. Nakumbuka nilikuwa Sudan wakati huo katika shughuli za Kanda ya Mashariki ya UN.

Hakukuwa na taarifa zozote za tahadhari kama huu uzushi. Jiulize kwa nini leo wametoa, tena siku ya Bajeti ya Nchi inapojadiliwa, Siku ambazo Watalii wengi wanakwenda kwa makundi makubwa Tanzania, Kuna nini hapo kimefichika?

Nimemuuliza Mtoto wa Shemeji yangu anayefanya kazi Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam, amethibitisha hata Ubalozi wenyewe umeshangazwa na aliyechapisha taarifa hiyo katika mitandao ya kijamii bila kujiridhisha.

Wanahojiana, hivi walishindwa hata kuwapatia Polisi Oysterbay wachunguze? Au hata wale walinzi wa pale FFU au G4S ambao wanalinda Ubalozi wao?

Walishindwa kuwapa JWTZ? Walishindwa kuwapa Usalama wa Taifa waseme wanayojua? Je huu sio ujasusi uliopindukia katika nchi za wenzao?

Hayo maswali lazima yawasukume Wamarekani kuwaomba radhi washirika wao katika masuala ya Kiusalama. Kuna Mikataba ya Kimataifa inayowataka kushirikiana na vyombo vya ndani ya nchi husika wanapofuatilia mambo yanayohusu masuala ya ndani ya nchi.

Wamarekani hadi wanatoa kauli, walituma wachunguzi wao Masaki?Je, waliomba kibali Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania au hata Umoja wa Mataifa? Wanatumia njia gani kuchunguza mambo nchini Tanzania hadi kutoa kauli ya namna hiyo?

Nani amewathibitishia huko mitaani hizo taarifa hadi kuchapisha katika tovuti yao? Tujiulize sote haya maswali.

Hivi Balozi wa Tanzania nchini Marekani hata akiwa na taarifa yoyote ya nchi hiyo ndio atoke kwa umma pale Washington DC kutangaza anachojua kuhusu Marekani? Sisi watu wa Diplomasia tunahoji, hiyo ni diplomasia ya wapi?

Basi ukiona hivi kuna jambo wanatengeneza kwa makusudi, si vinginevyo. Watanzania AMKENI.

Marekani, waombeni RADHI Watanzania na lazima mjenge tabia ya kufanya kazi na vyombo vya dola vya Tanzania katika kazi zenu. Umoja wa Mataifa unafuatilia jambo hili kwa karibu

Kweli kuna agents wanaoshirikiana na maadui wa Taifa la Tanzania.! Possibly Ibrahim akiwa mmoja wao! Wawezakuta yupo kajichimbia sehemu fulani kule Kariakoo au Bagamoyo atatoa maelekezo kwa maadui lakini anajifanya yupo London au Geneva!!!Serikali kupitia IGP Siro imesema kuwa hiyo habari waliipata hata kabla ya Ubalozi wa Marekani hawajatangaza, it means the Tanzania security system is proactive, very active even they are ahead of other nations! Kwa hiyo huyo jamaa aliyepo Geneva achunguzwe uhusiano wake na waliotaka kushambulia Dsm kwa kijaribu kupotosha uchunguzi!!Kudos IGP Sirro! you are indeed proactive!
 
Hizi ni issue za kutengeneza wao.

.Ukibeza wanalipua wao
Ukiamini wanaleta mtafaruku wao
Lkn tunataka kuwahakikishia UsA kuwa tuko nao at zero distance.
Tuko nao at 90 degree, wasi under estimate intelligency is not gadgets its mostly in Human tool

Tembeeni kifua mbele wi a in right track
 
Back
Top Bottom