Hoja: Kipi ni kibaya, wakili kuwatetea mafisadi au chama kumiliki mafisadi?

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Ndugu wanajamii,

Kumekuwa na upotoshaji wa "Kijinga na wa kupumbaza wasio na elimu" kuwa Marando Mwanasheria wa CHADEMA anatetea Mafisadi baada ya kumtetea Prof Mahalu. Hoja yangu ni kuwa, hao "MAFISADI" walioshitakiwa, wasioshitakiwa na wale wangine wanaotesa inajulikana kuwa ni WANACHAMA WA MAGAMBA (CCM).

Kipi ni kibaya nchi hii, kumtetea anayesadikiwa kuwa ni fisadi au KUMMILIKI FISADI?
 
ndugu wanajamii,
kumekuwa na upotoshaji wa "kijinga na wa kupumbaza wasio na elimu" kuwa marando mwanasheria wa chadema anatetea mafisadi baada ya kumtetea prof mahalu. Hoja yangu ni kuwa, hao "mafisadi" walioshitakiwa, wasioshitakiwa na wale wangine wanaotesa inajulikana kuwa ni wanachama wa magamba (ccm). Kipi ni kibaya nchi hii, kumtetea anayesadikiwa kuwa ni fisadi au kummiliki fisadi?
mabere marando piga kazi mzee, ndiyo profesional yako hiyo mzigo ni kwa hilo chama la magamba.kwa sababu nyinyiemu ni kichaka cha wezi na majambazi.
 
Angemuuliza mbona Kikwete na Mkapa ndio walio mtetea kuwa hana hatia?Marando yupo kazini na ile huduma kama huduma bila kujali mtu,tatizo ni kwamba wanaoitwa mafisadi hawashitakiwi,,,wanaleta maigizo tu,haya sasa mkapa anaenda kutoa ushaidi kwa mlamba!!na yeye akiwa mtuhumiwa wa kiwira nchi viongozi wa ccm ni majizi hayafai hata kidogo,kibaya ni chama kutuzalishia mafisadi
 
Ndugu wanajamii,
Kumekuwa na upotoshaji wa "Kijinga na wa kupumbaza wasio na elimu" kuwa Marando Mwanasheria wa CHADEMA anatetea Mafisadi baada ya kumtetea Prof Mahalu. Hoja yangu ni kuwa, hao "MAFISADI" walioshitakiwa, wasioshitakiwa na wale wangine wanaotesa inajulikana kuwa ni WANACHAMA WA MAGAMBA (CCM). Kipi ni kibaya nchi hii, kumtetea anayesadikiwa kuwa ni fisadi au KUMMILIKI FISADI?

Achana na hao "twits' marando ni professional na katika nchi hii 'ac accused person is deemed innocent until proven guilty.
Watu kama hao wakiwa madaktari hawezi kumtibu mtu anayemchukia[adui] profession ya sheria iko hivyo na ndiyo maana watu 'ethical' ndiyo wanafaa na siyo kuvamia fani. A judge never lets his personal prejudice overule his decision.
Waache wa mseme marando lakini hao hao wanapokuwa na kesi za kutuhumiwa wizi wanamfuata.
 
Back
Top Bottom