emilykj4
Member
- Jan 2, 2016
- 47
- 24
Una uhakika kuwa anatumika?Kama huelewi jambo ni bora kunyamaza na kujifunza. Duni hajaenda Chadema kwa uroho bali ni makubaliano ya vyama kukidhi matakwa ya sheria mbovu ya uchaguzi. Huyo Lipumba hata siwezi kumsema maana hata watoto wadogo wameshamuona ni babu jinga tuu. Ni mtu wa aina gani huyu ambaye anachafua CV yake ya kisiasa aliyoijenga miaka mingi kwa kukubali kutumika?