Hofu yatanda Kigamboni

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Hakijaeleweka ni nini, lakini miungurumo mizito na vumbi lililochanganyikana na moshi vimetanda angani na kuleta hofu kubwa Maeneo ya Kigamboni.
Mwenye taarifa rasmi za kinachojiri atujulishe.
 
Mkuu nini tena huko? Naona hamna aliyejitokeza kuleta taarifa zaidi hadi sasa
 
Back
Top Bottom