Hofu: Spika abadili gia angani, Bunge sasa kujadili Ripoti ya CAG kabla Bunge la Bajeti halijaisha

Huyu Na
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha heshima la bunge na kuamua wabunge wajadili report ya CAG katika vikao vinachoendelea vya bajeti.

Hapo awali kulikuwa na malumbano katika kona za bungeni kuhusu wizi mkubwa kwenye report ya CAG kubwa hakuna ufisadi uliwahi kufanyika kwa kiwango huki cha trilioni 3.6 tangu nchi hii imepata uhuru.

USSR

View attachment 2594930
Huyu Naye remote Ipo msoga. Ulikuwa upuuzi WA Hali ya Juu kupitisha bajeti nyingine wakati iliyopita pesa zote zimeliwa
 
Wahenga husema "supu ya mbwa shurti iliwe ingali ya moto" sasa Nov ingekuwa ishapoa
 
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha heshima la bunge na kuamua wabunge wajadili report ya CAG katika vikao vinachoendelea vya bajeti.

Hapo awali kulikuwa na malumbano katika kona za bungeni kuhusu wizi mkubwa kwenye report ya CAG kubwa hakuna ufisadi uliwahi kufanyika kwa kiwango huki cha trilioni 3.6 tangu nchi hii imepata uhuru.

USSR

View attachment 2594930
Naona tuseme: " Spika msikivu, CCM hailei ufisadi na Mhe. Rais Samia kuendeleza moto vita ya ufisadi aliourithi kutoka kwa mtangulizi wake". Ndiyo maana alimuacha CAG akague kila shilingi ili aone panapovuja. Tukikosoa kwa hoja au kushauri na mamlaka za dola zikisikia ni ushindi kwa taifa zima ukiwemo wewe, yule na mimi. Tuwape moyo viongozi wetu.🙏🙏🙏
 
Tulia amefanya vizuri,ila amechelewa......... hawezi kupata heshima kama angefanya maamuzi haya mwanzo,saizi nikama ameshinikizwa
 
Nilikuwa namshusha hadhi huyu mwalimu wangu.

Ni wazi kabisa wananchi tunataka majibu ya wizi wa fedha za uma.

Bunge ni sehemu muafaka ya kupatiwa majibu yetu.

Sisi wananchi tunawataka wawakilishi wetu kuhakikisha hayo majizi yanachukuliwa hatua na serikali na matokeo yake tunayaona.
Sasa all is well ? Hadhi imepanda ?
 
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha heshima la bunge na kuamua wabunge wajadili report ya CAG katika vikao vinachoendelea vya bajeti.

Hapo awali kulikuwa na malumbano katika kona za bungeni kuhusu wizi mkubwa kwenye report ya CAG kubwa hakuna ufisadi uliwahi kufanyika kwa kiwango huki cha trilioni 3.6 tangu nchi hii imepata uhuru.

USSR

View attachment 2594930
Pamoja na kuruhusu bado ameshapoteza dira
 
Usipotoshe ni taarifa ya CAG iliyofanyiwa maazimio ya Bunge ya mwaka Jana sio mwaka huu.
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha heshima la bunge na kuamua wabunge wajadili report ya CAG katika vikao vinachoendelea vya bajeti.

Hapo awali kulikuwa na malumbano katika kona za bungeni kuhusu wizi mkubwa kwenye report ya CAG kubwa hakuna ufisadi uliwahi kufanyika kwa kiwango huki cha trilioni 3.6 tangu nchi hii imepata uhuru.

USSR

View attachment 2594930
 
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha heshima la bunge na kuamua wabunge wajadili report ya CAG katika vikao vinachoendelea vya bajeti.

Hapo awali kulikuwa na malumbano katika kona za bungeni kuhusu wizi mkubwa kwenye report ya CAG kubwa hakuna ufisadi uliwahi kufanyika kwa kiwango huki cha trilioni 3.6 tangu nchi hii imepata uhuru.

USSR

View attachment 2594930
Lakini tulisikia kwamba ni kwa mujibu wa kanuni zao walizojitungia kuwa watajadili novemba.
Sisi huku wananchi tusiyo na kanuni tunaendelea kuisoma, kuchambua na kuelimishana jinsi wapigaji wanavyoendelea kutupiga bila kuchukuliwa hatua.kali.
Tunawakaribisha kwenye uwanja huu baada ya kuona hali kwa wananchi si shwari wanavyoidadavua .
LAKINI
Kitu muhimu cha kujiuliza ni hiki hapa wakati wanaenda kuchambua .
1) kwa nini ubadhilifu unazidi kuwa mkubwa zaidi?
2) kwa nini wahusika hawachukuliwi hatua kali?
3)Tangu mmeongelea ubadhilifu huu ni kipi kimefanyika na eneo lipii?
4) je uwajibikaji upo kwa wasimamizi wa taasisi husika?

Majibu ya hayo maswali sisi wananchi tulio nje kidogo tukiulizwa dawa yake ipo.
 
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha heshima la bunge na kuamua wabunge wajadili report ya CAG katika vikao vinachoendelea vya bajeti.

Hapo awali kulikuwa na malumbano katika kona za bungeni kuhusu wizi mkubwa kwenye report ya CAG kubwa hakuna ufisadi uliwahi kufanyika kwa kiwango huki cha trilioni 3.6 tangu nchi hii imepata uhuru.

USSR

View attachment 2594930
Hao The Green Mamba team wasanii tu,hapo ukute Wabunge waliitwa kwenye Party Caucus wakapigwa mkwara.Kwaiyo watajadili juujuu tu then mambo kabatini!
 
Niamini Wabunge watakuwa wamepitia bandiko langu CAG abebe msalaba wake na mengine mengi humu JF, kuhusu ripoti ya CAG, wakati wa kuijadili
Una expect kweli wabunge wa CCM watajadili na kuchukua hatua? PAC yenyewe inaongozwa na CCM unatarajia watachukua hatua Gani zaidi ya kutoa onyo tu!! Hakuna waziri atajiuzulu unless wangekuwepo wabunge wa upinzani.
 
1) kwa nini ubadhilifu unazidi kuwa mkubwa zaidi?
Kwani uliwahi kupungua lini? Kila mwaka tokea 2009 ripoti ya CAG imejaa ufisadi tu katika Kila idara ya serikali na halmashauri.
2) kwa nini wahusika hawachukuliwi hatua kali?
Sababu bunge limejaa CCM so wanalindana lakini huko nyuma bunge la 9 na 10 tulikua tunaona Kila ripoti ya CAG basi Kuna vichwa vya mawaziri vilitumbuliwa.

3)Tangu mmeongelea ubadhilifu huu ni kipi kimefanyika na eneo lipii?
Haliwezi fanyika kitu mpaka siku bunge likiwa na uhuru. Kwa Sasa wanafanya kazi kwa maelekezo ya Lumumba, wakikosoa sana basi 2025 wanajua watakatwa!! Mfano Mpina kamkosoa sana Mama keshakatwa ujumbe wa NEC kitaifa na mkoani. Ndugai pia alijaribu kukosoa mikopo akaliwa kichwa!!
4) je uwajibikaji upo kwa wasimamizi wa taasisi husika?
Haupo, na ndio maana tunadai katiba mpya Ili Rais asiwe na mamlaka ya kuvunja bunge pale anapopingwa na kuwepo wagombea binafsi Ili wawe huru kukaripia ufisadi bila kuhofia viti vyao kuchukuliwa.
 
Una expect kweli wabunge wa CCM watajadili na kuchukua hatua? PAC yenyewe inaongozwa na CCM unatarajia watachukua hatua Gani zaidi ya kutoa onyo tu!! Hakuna waziri atajiuzulu unless wangekuwepo wabunge wa upinzani.
Ikiwa hivyo, wasubiri kitakachowatokea 2025. Hata hivyo, viongozi wa upinzani hawaoneshi nia ya dhati ya kuiondoa CCM madarakani baada ya kupewa rukhsa ya kufanya siasa majukwaani. Au ni kwa sababu Awamu ya sasa imejikita kwenye maendeleo ya siasa badala ya vitu!!!
 
Back
Top Bottom