Hofu kubwa ya tanda CHADEMA utendaji wa baraza jipya la mawaziri

mmwaisoba

JF-Expert Member
May 20, 2012
434
24
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kineingiwa na hofu kubwa kufuatia utendaji wa baraza jipya la mawaziri ambao kwa kiwango kikubwa uteuzi wake ulitokana na hoja za CHADEMA kuhusu utendaji mbovu wa baadhi ya mawaziri vijana.

Hata hivyo wana nchi walio wengi sasa wamerudisha kwa kasi imani yao kwa serikali na wana matarajio makubwa hasa Mhe. Muhongo Mh Tibaijuka, Mh. Mwakyembe na Mh Kagasheki.

Wakazi wa Kibaha ndo walitoa mpya juzi baada ya kukili kuwa itakuwa ni kichekesho kuitoa CCM madarakani na kumfanya Magufuli na Muhongo warudi nyumbani eti sasa Sugu la Lema ndo wawe mawaziri. Lakini wachambuzi wa CHADEMA wamekuwa wakisema kuna udhaifu mwingine wa CCM ingeachwa ili utumike wakati wa Uchauzi vinginevyo ni kuwaamsha CCM
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kineingiwa na hofu kubwa kufuatia utendaji wa baraza jipya la mawaziri ambao kwa kiwango kikubwa uteuzi wake ulitokana na hoja za CHADEMA kuhusu utendaji mbovu wa baadhi ya mawaziri vijana. Hata hivyo wana nchi waliowengi sasa wamerudisha kwa kasi imani yao kwa serikali na wanamatarajio makubwa hasa Mhe. Muhongo Mh Tibaijuka, Mh. Mwakyembe na Mh Kagasheki. Wakazi wa Kibaha ndo walitoa mpya juzi baada ya kikili kuwa itakuwa ni kichekesho kuitoa CCM madarakani na kumfanya Magufuli na Mohongo warudi nyumbani eti sasa Sugu la Leman ndo wawe mawaziri. Lakini wachambuzi wa CHADEMA wamekuwa wakisema kuna udhaifu mwingine wa CCM ingeachwa ili utumuke wakati wa Uchauzi vinginevyo ni kuwaamsha CCM

Hofu ya CDM haipaswi kutokana na utendaji mzuri wa Serikali hivi sasa, bali ubovu wa safu nzima ya uongozi ndani ya chama hicho, ZITTO kishasema hana mpango wowote wa kugombea uongozi ndani ya CDM huku viongozi wa chma hicho mkoani mwanza wakichapana makonde. Hivi hapo utasema CDM inahofia CCM badala ya kujihofia weneyewe.
 
Unaponiambia wana hofu nashindwa kukuelewa, hakuna chama kinachopenda kuona serikali ikivurunda. Na ndio maana CDM ilishinikiza kuondolewa kwa Mawaziri wasiofanya kazi za kwa maslahi ya Tanzania. La sivyo wangekaa kimya kama Jk na Mkuu wa mawaziri walivyokua kimya. Tanzania itaharibiwa na vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa mali za umma.

Hata hivyo utendaji wa hawa wachache hauwezi ficha maovu ya walio wengi. The same rule will be applied "MAJORITY RULES"
 
Kifo cha CCM hakiwezi kuepushwa na Kagasheki na Prof Muhongo. CCM kama chama wamechelewa sana kuchukua hatua. RADAR, EPA, BUZWAGI, MEREMETA, RICHMOND, MAJENGO PACHA BOT, MABILIONI YA USWISI....

Hivi kweli hayo ndo mambo ya kuiua CCM? kweli mmeishiwa na propaganga.
 
Je wajua ukisemacho?

Muhongo- amebadilisha kipi kwenye madini? Royalties, review of lopsided contracts? Je, umeme amefanya nini? Ulimsikiliza kwenye mahojiano na BBC?
Prof Tibaijuka- amebadilisha kipi Ardhi na makazi ya watu? Je ulishawahi kufuatilia hati/title deed ya nyumba au kiwanja ulichonunua? Kama hujawahi, basi hujua unachoongelea? Ulishawahi kuomba mkopo na kuwauliza watu wa mabenki kwamba wanatumia siku ngapi kuandikisha charge yao kwenye title deed? Kama hujawahi, basi hujui unachoongea.
Kagasheki- Ulishapata issue yoyote na polisi? Kama bado, basi hujui unachoongea?

Nchi ina uozo wa ajabu ambao unahitaji mabadiliko makubwa ya kiutawala na kimfumo chini ya watu wenye maono ya miaka 50 mpaka 100 ijayo.
 
wale ccm ni samaki mkavu. Haisaidii tena kwa sasa hata wakipewa nyenzo zipi. Wakati wao wa kutawala umefikia tamati
 
Unaponiambia wana hofu nashindwa kukuelewa, hakuna chama kinachopenda kuona serikali ikivurunda. Na ndio maana CDM ilishinikiza kuondolewa kwa Mawaziri wasiofanya kazi za kwa maslahi ya Tanzania. La sivyo wangekaa kimya kama Jk na Mkuu wa mawaziri walivyokua kimya. Tanzania itaharibiwa na vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa mali za umma.

Hata hivyo utendaji wa hawa wachache hauwezi ficha maovu ya walio wengi. The same rule will be applied "MAJORITY RULES"

Eti MWAKYEMBE. MAGHUFULI, KAGHASHEKI, MUHONGO, TIBAIJUKA, MURUGO ni idadi ndogo na kwa maana hiyo hawawezi kuikoa CCM. Hebu taja angalau wana-CDM watano angalau wanawafikia hao sita wa CCM kwa utendaji. Kwa maoni yangu wanaonekana wachache kwa vile wapo wana CCM wengi walio wazuri. Mimi naamini CCM bado wanayonafasi kubwa sana kuendelea kuongozi kwa zaidi ya miaka 20 ijayo hasa wakiendelea na kuboresha na kusimamia serikali kama ambavyo wameonesha nia hiyo mapema.
 
wale ccm ni samaki mkavu. Haisaidii tena kwa sasa hata wakipewa nyenzo zipi. Wakati wao wa kutawala umefikia tamati

Lakini ndo hao hao wanaowaliza CDM na kuwafanya wahangaike usiku kucha na operesheni zisizoeleweka.
 
Je wajua ukisemacho?

Muhongo- amebadilisha kipi kwenye madini? Royalties, review of lopsided contracts? Je, umeme amefanya nini? Ulimsikiliza kwenye mahojiano na BBC?
Prof Tibaijuka- amebadilisha kipi Ardhi na makazi ya watu? Je ulishawahi kufuatilia hati/title deed ya nyumba au kiwanja ulichonunua? Kama hujawahi, basi hujua unachoongelea? Ulishawahi kuomba mkopo na kuwauliza watu wa mabenki kwamba wanatumia siku ngapi kuandikisha charge yao kwenye title deed? Kama hujawahi, basi hujui unachoongea.
Kagasheki- Ulishapata issue yoyote na polisi? Kama bado, basi hujui unachoongea?

Nchi ina uozo wa ajabu ambao unahitaji mabadiliko makubwa ya kiutawala na kimfumo chini ya watu wenye maono ya miaka 50 mpaka 100 ijayo.
Ina maana wewe hayo yote umeyafanya? basi wewe ndiye fisadi ambaye hutakiwi kabisa.
 
Back
Top Bottom