Hofu imeshatanda, FileSonic wazuia kudownload file za watu wengine, FileServe wafuta

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
Baada ya MegaUpload kufungwa na FBI na wamiliki wake kukamatwa sasa service zengine za file sharing zinajizima zenyewe, Uploaded.to wameblock watumiaji wa Marekani, FileServe wamefuta karibia mafaili yote, FileSonic sasa hawaruhusu kudownload file za mtu mwengine.
Kazi ipo.
 
Site ya FBI haijachakachuliwa, waliioverload temporarily tu.
 
Kazi ipo mwaka huu. Je huu ndo mwanzo (prelude) wa utekelezaji wa SOPA na PIPA kwa vitendo?
 
mkuu hebu tuweke wazi sababu kuu ya kufanya hivyo waliioverload temporarily kivipi

Kwa kifupi wanachofanya ni kupeleka web requests nyingi katika site wanayotaka kuioverload, kwa mfano JF ina watu 10,000 online sasa hivi na maximum waliowahi kuingia JF kwa wakati mmoja ni 12,000 sasa fikiria watu 1,000,000 wakiingia JF kwa wakati mmoja server za JF zitakuwa hazina uwezo wa kubeba mzigo huo so site itakuwa overloaded inaweza kuangaka kabisa au ikawa slow/unreliable.

Wanachofanya hawa jamaa ni kutengeneza requests hizo artificially kwa kutumia code, kwa hiyo kila mtu mmoja anakuwa sawa na mzigo wa watu 1,000 kwa mfano, na ndo wanavyoziangusha hizi site, ila hawajahack kitu chochote.

Sasa suluhisho lake ni mwenye website aingie gharama ya kuongeza resources/server abebe mzigo, watafute njia ya kuwablock watu ambao ni feki au kusubiri tu yaishe.
 
as long as torrent site zipo i dnt see hw that affects me personally. Bt kwa wale walokua wanatumia hz site lets say kama kwa kufanya backup like dropbox imekula kwao. Bt kama ulikua unatumia kudownload media mbalmbl..hain tabu kivile
 
...Kazi ipo.
Nilikwambia hii kitu zamaniiiii ulipokuja na "habari njema" za offer za 5GB za bure mitandaoni!

Siku hizi computer zinatengenezwa na 300GB, 500GB etc. sasa vi gigabaiti viwili, vitano vya storage kwenye server ya mtu, nchi nyingine, vya nini? Hata vi simu sikui hizi vina ma gigabyte ya storage ya ziada, store kwenye simu if you want.

Justice Department wanaweza ku seize haya ma data kwenye ma server huko anytime, sikusema haya? Ndio hayo sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom