Hofu hudhoofisha maono yako

khomgodlove

Member
Nov 17, 2018
33
22
Ugumu wa safari ya maisha ya huyu mwanamke ulianza sekende chache tu kabla ya kuzaliwa kwake, alikinusa kifo akiwa yeye pamoja na mama yake. Hali iliyopelekea kutokupewa jina lolote kwa sababu ndugu, walijua fika kuwa kifo ni halali yake.

Lakini kutokana na kudra za mwenyezi , wazazi waliamua neno "Riswema" ndiyo liwe jina ambalo huyu mtoto akiitwa atakuwa anaitika bila kusita.

Riswema maana yake ni mtu anayepishana sana na fursa, yaani ukiitwa Riswema maisha yako yote hayataisha visa na mikasa ya kutisha. Ndugu wote waliamini mtoto huyo amekuja na mikosi, japo Riswema mwenyewe alijiona yeye ni mkombozi kwenye jamii yake. Aliona mbali kwa kuwa yeye ni moja kati watu wachache sana Duniani ambao walitambua na kuzingatia uwepo wao hapa Duniani.
"
Sasa basi kitabu hiki kinaonyesha njia 18 ambazo zinaweza kukusaidia kutambua na kutimiza maono yako, kipo kwa mfumo wa softcopy na hardcopy itatoka tarehe ⅛ mwaka huu

#Riswema #kitabu #swahili

IMG-20210702-WA0004.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom