Hodini

boyi

New Member
Jun 21, 2014
2
0
Mie mgeni nduguzanguni naomba mnikaribishe natuendelee kuwa wote hapa jamvini, nyumbani kwa watu makini. Asanteni.
 
Mzee mimi ni mgeni katika uwanja huu wa JF ila ndo nimejiunga sasa naomba munitambue na kuniunganisha na wana JF hasa kwanye yale mambo ya kikubwa ili niweze kupata uhondo huo tafadhali sana
 
Duh!!!! Hii kali, yaani ndio kwanza umejiunga halafu unalitaka Jukwaa la Wakubwa. Pole. Karibu JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom