hodiiiiiiii1111111

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wakati ndio sasa'

- Wa kuwang'oa madarakani wale wezi wote wa kodi zetu
- wa kusema hapana kwa CCM
- wa kufanya mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu
- wa kutokupangiwa nini cha kuongea na nini hatupaswi kuongea hasa katika mchakato wa katba mpya
- wa kuanza kujongea kuelekea magogoni kudai haki yetu
- wa kutokubaki nyuma katika kuutafuta ukombozi wa kweli kutoka kwenye mikono ya mafisadi

Naombeni mmnipokee wanajamvi hata kama ujumbe niliokuja nao utawakwaza
 
mkubwa!karibu sana,nafurahia sana ujumbe uliokuja nao,pamoja tunaweza
 
Karibu Mkubwa. Kweli wakati ndio huu, kurudi nyuma mwiko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom