hodiiii wana JF mpaka kunako

estlovie

Member
Jan 2, 2012
18
2
Mgeeeeni tumeshazoea anakaribishwa setn rum tuuuu,mi ckubali nataka nikaribishwe kona zote jikon,lue, mpaka aaa bedrum la cvyo ni afadha;i niishie njeee....mgen mie napenda kujishughulisha hasa ninapokaribishwa na wenyeji,...huanza kufanya usafi,kutandika kitanda na kupika kisha kuondoka....ila kama mwenyeji atanipenda sanaaaa na alinikaribisha vzr bs huwa na tendency ya kurud mara kwa mara ila cpend kuwa mwenyeji,mi always ni mgen
 
anza na usafi wa toilet wanajamii watakupenda sana,karibu sana tena karibu mazima ata usiondoke
 
Mgeni mbona una maneno sana. Haya chukua ndoo hiyo kachote maji.
 
jaman asanten ila nipeni sasa muelekeo nikate kushoto au kulia ,juu au chino?
 
Back
Top Bottom