Hodiii wana jamii forum...

NG'ONG'ONHWI

Member
Sep 13, 2012
31
3
Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,,
pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI??
Ahsanteni.
 
Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,,
pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI??
Ahsanteni.

Karibu sana mdau humu jamvini.Awali ya yote pita uwani upakuliwe pilau ili ushibe kabla ya kuanza kuingiza posts zako.
Mlango hufungwa wakati wowote.
 
mkupuo ahsante kwa pilau lakini huwa situmii.umekosa mlango huwa haufungwi wakat wowote jarbu tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom