Asanteni Azam mmetupunguzia Kelele Kwenye Jukwaa La Michezo Hapa Jamii Forums

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Kiukweli Nikiripoti kutoka hapa Jamii Forum,Jukwaa la Sports(Michezo) hali ilivyo ndugu Msomaji ni ya utulivu wa hali ya juu hali ipo shwari kabisa..

Hakuna mtu alieanzisha UZI wa TWE! TWE! TWE! kama ngoma ya Kizz Daniel Maana wameona Jinsi gani Team Lao Tia Maji Tia Maji.

UKIBISHA NA UKACHEKACHEKA ETI MME DRAW NAOMBA UNIJIBU HILI SWALI?

NANI ALIKUA HOME?


Ndugu Msomaji kwa kumalizia tu hapa naona Kila Mtu yupo busy na Sabato hayo yote yameletwa kwa udhamini wa Azam Football Club.

Hadi wakat Mwingine Usiku Mwema kwenu nyote.
 
Kiukweli Nikiripoti kutoka hapa Jamii Forum,Jukwaa la Sports(Michezo) hali ilivyo ndugu Msomaji ni ya utulivu wa hali ya juu hali ipo shwari kabisa...
Mbona matokeo ya kawaida sana! Tatizo ni kuujua ushabiki wa soka baada ya Manara kuwa msemaji
 
Hamlalamiki tena kuhusu ratiba.pia huwezi shinda chini ya shabiki la UTOPOLO Ramadhan Kayoko sijawahi ona Mwamuzi wa ovyo kama huyu Chuki aliyoionesha dhidi ya Simba itoshe tu kusema what a stupid referee ever
 
Back
Top Bottom