CHIMPANZEE
Member
- Mar 30, 2011
- 98
- 10
Mwenzenu nimekuja JF kuona ujinga wenu mnaofanyaga kwenye hii web.
Mimi naitwa Chimpanzee naishi porini na chakula changu ni matunda na mizizi, ukinipa maziwa nashukuru sana.
Nahitaji kujifunza mengi toka kwenye web hii ila sitaki ujinga maana huko porini hua hatufanyi ujinga.
Asante