Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Karibu mwaya mlango uko wazi!
Mgeni ana mapozi huyo mpaka anaharibu sasa. Itakuwa hata chakula umuulize anakula nini usije ukampa wali mandondo akaanza kuleta pozi zake anataka chips kuku
Karibu mwaya mlango uko wazi!
Mbona mgeni anachungulia vyumbani aise wakati hajakaribishwa
Sorry mkuu nilikuwa vyumba vya uani!Haamini kama ametinga Jf, atakutana na macho ya invisible yampe direction!
Mkuu kwenye chakula usijali sana mi napenda mihogo na kachumbariNgoja aje nimuulize, naona amechoropoka sijui kenda wapi? Alafu anaonekana dogo janja vile!
Angalia hotpot hapo mezani zina chakula chakoMkuu kwenye chakula usijali sana mi napenda mihogo na kachumbari
au hata kama kuna mahindi ya kuchomwa ila yawekwe pilipili na ndimu!
Kwangu amefika,karibu mgen tuna wali ,birian,pilau,makande,ugali wa muhogo na mahindi yakuchemsha ,mboga zipo mnafu,matembele,nyama yang'ombe,mandondo na samaki wa mchuzi,juice ipo ya ndimu,passion,pilipili,na ya matango,sijui utakula nn mgen wetu!Afazali umekuja, nakuachia jukumu la mlo umuandalie mgeni!
Hapo umenikumbusha chuoni India!Kwangu amefika,karibu mgen tuna wali ,birian,pilau,makande,ugali wa muhogo na mahindi yakuchemsha ,mboga zipo mnafu,matembele,nyama yang'ombe,mandondo na samaki wa mchuzi,juice ipo ya ndimu,passion,pilipili,na ya matango,sijui utakula nn mgen wetu!
Hebu muelekeze kwanza vyumba vyote na kama ana vigezo muelekeze namna ya kuingia lile jukwaa la wakubwa.Mbona mgeni anachungulia vyumbani aise wakati hajakaribishwa
Hapo umenikumbusha chuoni India!