Hodi waungwana!

Mgeni ana mapozi huyo mpaka anaharibu sasa. Itakuwa hata chakula umuulize anakula nini usije ukampa wali mandondo akaanza kuleta pozi zake anataka chips kuku

Ngoja aje nimuulize, naona amechoropoka sijui kenda wapi? Alafu anaonekana dogo janja vile!
 
Ngoja aje nimuulize, naona amechoropoka sijui kenda wapi? Alafu anaonekana dogo janja vile!
Mkuu kwenye chakula usijali sana mi napenda mihogo na kachumbari
au hata kama kuna mahindi ya kuchomwa ila yawekwe pilipili na ndimu!
 
Mkuu kwenye chakula usijali sana mi napenda mihogo na kachumbari
au hata kama kuna mahindi ya kuchomwa ila yawekwe pilipili na ndimu!
Angalia hotpot hapo mezani zina chakula chako
Ila mgeni wewe mpaka umeenda vyumba vya uani huko kuna wapangaji wa jinsia nyingine unawatakia nini
 
Afazali umekuja, nakuachia jukumu la mlo umuandalie mgeni!
Kwangu amefika,karibu mgen tuna wali ,birian,pilau,makande,ugali wa muhogo na mahindi yakuchemsha ,mboga zipo mnafu,matembele,nyama yang'ombe,mandondo na samaki wa mchuzi,juice ipo ya ndimu,passion,pilipili,na ya matango,sijui utakula nn mgen wetu!
 
Hapo umenikumbusha chuoni India!
 
Hapo umenikumbusha chuoni India!

Kuna kila dalili huyu jamaa alikua room-mate wa Katibu mueneza sera na itikadi za kijani ya Njano.
.
Mkuu, karibu jamvini, but ukiwa humu kundi lako ni kina FF, Mzee, Ritz, Rejao, n.k.
Mimi sio wa kundi lako kabisa, hivyo sina haja ya kukukaribisha!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom