Hodi wanajamii.

Monasha

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
561
422
Naitwa Zakayo Olle-Shaudo, kutoka Ngorongoro.
Nimeingia kwenye jamii hii nikiwa na imani kwamba tutashirikiana kwa mambo kadha wa kadha yanayonihusu mimi, wewe, yule na hatimaye yanayoihusu jamii nzima, taifa na hata dunia nzima pia.
Kwa pamoja tutaweza. Kinachotakiwa ni kuwajibika tu waungwana.
Tujadili mambo yanayoijenga jamii na si kubomoa jamii.
Asanteni sana.:peace:
 
Zakayoolle...................karibu sana.Hawajambo huko ngorongoro,lakini ngorongoro kubwa bana we iko pande gani,kwani kuna mto wa mbu,karatu,getini na pande ile nyingine inakwenda hadi samunge.

:A S-coffee: karibu na coffee
 
.
Nimeingia kwenye jamii hii nikiwa na imani kwamba tutashirikiana kwa mambo kadha wa kadha yanayonihusu mimi, wewe, yule na hatimaye yanayoihusu jamii nzima, taifa na hata dunia nzima pia.
:

Haswaaaaaaaaaaaa JF ni mahala pako pa kuishi. Stress free zone.
 
Naitwa Zakayo Olle-Shaudo, kutoka Ngorongoro.
Nimeingia kwenye jamii hii nikiwa na imani kwamba tutashirikiana kwa mambo kadha wa kadha yanayonihusu mimi, wewe, yule na hatimaye yanayoihusu jamii nzima, taifa na hata dunia nzima pia.
Kwa pamoja tutaweza. Kinachotakiwa ni kuwajibika tu waungwana.
Tujadili mambo yanayoijenga jamii na si kubomoa jamii.
Asanteni sana.:peace:
Karibu sana mkuu ,hope ushapiga kile cha kwa Babu vp foleni huko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom