The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Kwa kweli nimefurahishwa na mada zinazozungumziwa humu ndani na pia member s mbali mbali wanaotoa michango yao yenye kusaidia na kuelimisha mawazo na maoni yenu ndiyo yamejifanya nijiunge kwenye hii familia kubwa nilikuwa mpita lakini nikaona hapana bora nijenge kabisa kibanda natumaini mtanipokea kwa mikono miwili nashukuru sana.