Hodi wana JF

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
Wana JF wote napenda kuwajulisha kuwa mimi ni mwanajamii mwenzenu nimejiunga dakika chache zilizipota. Naomba nipate baraka zenu wenyeji wangu.
 
Wana JF wote napenda kuwajulisha kuwa mimi ni mwanajamii mwenzenu nimejiunga dakika chache zilizipota. Naomba nipate baraka zenu wenyeji wangu.

Karibu ila umeingia mlango sio pita jukwaa la utambulisho sawa babu wee/ bibi wee
 
Karibu ila umeingia mlango sio pita jukwaa la utambulisho sawa babu wee/ bibi wee

Yes nakubali sikupaswa kuingilia humu niligundua hilo na nikarudi kuingilia kunakohusika. Asante kwa kunikaribisha. Iam a she
 
wokei..karibu lakin umeingilia mlango ambao sio..lakin karibu sana.umeshasoma sheria za humu jamvini?
 
Back
Top Bottom