Dah Neema uko getini aisee....safi sana.karibu mpaka ndani....
Unaenda kupika nini leo Kongosho? Maini au Utumbo?Karibu, naomba moto!
Unaenda kupika nini leo Kongosho? Maini au Utumbo?
Yan unanitamanisha sana coz hapa hata sijui nitakula nini leo na kutoka hata sitamani aisee lolleo ni light meal tu
ni mwendo wa salad
some veges na juisi
karibu mpaka ndani....
Unaenda kupika nini leo Kongosho? Maini au Utumbo?