Hodi! Hodi!

karibu sana BWABWA, nilikuwa nakuonaona kwenye mapost mengine na jina lako likawa linanitatiza kidogo lakini atleast ur the first open shoga in da forum, karibu sana
 
Sina hamu! Ndio maana ililetwa ile SREDI ya Dada-kaka mtalimbo umepinda.. Sasa nimepata picha kamili.. Dunia kwishne.

TUOKOKE TU SASA.
 
Ahh!! Bwabwa Yaani ulizaliwa hivyo au maumbile uliyabadilisha kutokana na Ugumu wa maisha au walikuomnjesha siku moja sasa ukajiingiza moja kwa moja maana sisi tutawaombea na mtapona enyi mnaofanya kinyume na maumbile. sasa naomba majibu je ni kweli hayo ili nijue nianze wapi? tunaweza kuwasiliana nikakupeleka kwenye maombi pale Ubungo maji Njoo tukuombee au ndo umezoea??? lakini utarudi katika UUMENi wako na utazaaa watoto wewe njoo au unapatikana wapi nikuletee maombi mpaka kwako?
 
Ahh!! mimi niliwaonaga nilivyokuwa Lupango kwani nasikia nyinyi mnamapenzi Sana kuliko wanawake nasikia mnalia sana kuliko wanawake sasa hembu tudhibitishie hapa kwani Sisi hapa Tupo Jamvini hayo maumbile umezaliwa nayo?? au ndo kusema?? Je Katika Hili Jamvi utaliweza kwani wewe si mwenzetu tena kwani Unaweza kwenda Kanisani Ukaombewe inakuwaje huendi?? Mimi Binafsi sifagilii katabia cha kishetani badilika bana. Huchoki kupumuliwa kisogoni. ala!!!
 
ipo mitandao mingi inayokuhusu bwabwa hapa umekosea kidogo hutakuwa na mchango wowote, hapa tunajadili sana mustakabali wa nchi yetu na usitegemee kujadili chochote kihusucho labda haki za mashoga n.k
 
Hamjambo Mabibi na Mabwana? Kuanzia leo nitakuwa pamoja na nyinyi, mnipokee vyema, mnikaribishe vyema, mnipe vyenu vya tunu na vya thamani nami nitakupeni vyangu vyote, sina zaidi...thanx

:D:D:D Kweli umepata wa kuwauza humu! Jf-Expert Member bado wewe ni mgeni? Teh teh teh teh jf inawatu kwelikweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom