Hodi hodi waungwana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,422
21,115
Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa takriban miaka miwili sasa na nikavutiwa na mada moto moto zitolewazo humu ndani pamoja na watu makini wenye uwezo wa kujenga hoja kama vile kiranga , na wengineo wenye mada kali kama vile stunter bila kumsahau Mshana Jr ,

Hivyo basi naombeni mnipokee kwa mikono miwili , vile vile ningependa kupata msichana wa kubadilishana nae mawazo aliye teyali anifuate inbox


Natumai mtanipokea kwa mikono miwili na ombi langu la kupata mpenzi pia litazingatiwa!!!!!!!!!
 
duh! hii ni kiboko..siku ya 1 tu kupost na kutafuta msichana? eti wa kubadilishana naye mawazo! wanaume huwezi?...safari bado ndefu sana
 
jamaa kashakula ban,au iyo avatar watu huwa wanapenda tu kuitumia?
#JF hatupendagi ujinga#
 
Back
Top Bottom