Hodi hodi ukumbini

Duh hiyo msataili uliyokuja nayo ni ya aina yake. Naona ulishajikaribisha mwenyewe. Yaani umeingia kwenye nyumba ya watu bila hodi, umekula chakula, umekunywa maji halafu baadaye ndio unabisha hodi? Hii sijawahi kuona. tehtehtehtehteh!!!!!!!!!! hii kali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom