Hlssf wanatoa lini majina ya waliopata mikopo awamu ya kwanza?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jamani,kwa anaejua hawa jamaa wanatoa lini majina ya applicants waliopata mikopo atujuze,maana wengine huku hatuamini kama hawa jamaa ni wakweli au ni matapeli wa mjini tu,so mpaka tuone watu wamepata ndio na sie tujaribu bahati zetu.
 
Tuwe wavumilivu tuu mbona hata heslb walikwia lakini mwisho wa siku wakaachia xo nao wataachia tuu tusubirii na tuwe na subira
 
Tuwe wavumilivu tuu mbona hata heslb walikwia lakini mwisho wa siku wakaachia xo nao wataachia tuu tusubirii na tuwe na subira

wavumilvu hadi lini mkuu,watu tunafungua vyuo nxt wk,tunataka tujaribu.
 
Mmeibiwa mchana kweupe. Wezi tu hao. Yaani wakijitahidi kuwaonea huruma sana, hizo pesa mlizochangachanga wanaweza kuwapa watu 60, halafu wengine mnatoka hola huku wenyewe wakitoka na gunia la pesa. Mjini shule, na wajinga ndio waliwao.
 
Jamani,kwa anaejua hawa jamaa wanatoa lini majina ya applicants waliopata mikopo atujuze,maana wengine huku hatuamini kama hawa jamaa ni wakweli au ni matapeli wa mjini tu,so mpaka tuone watu wamepata ndio na sie tujaribu bahati zetu.

Mwisho wa application ni tareh 30/10/2012 so tegemea majina kuanzia mwez wa kumi na moja
 
Angalia isijekuwa majina ya waliotapeliwa mara ya kwanza ol.smahan lakin
 
kwa awamu ya kwanza wale walio apply tangu mwz wa 2 majina yanatoka mwz wa10 na wale waliochelewa na bado wan apply ambao mwsho ni 30 oct bac yatatoka mwz wa 11 ndo walivyosema eti
 
Back
Top Bottom