Hizi picha mbili zinaniumiza kichwa!!

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Lowassa1.jpg

Hii picha ni kutoka gazeti la majira... ambayo nafikiri ipo sawa....hii ya chini sasa

nape-lowassa.jpg \
Hii picha imetoka gazeti la mwananchi....yapo mabo ya kujiuliza hapa... ni kweli hawa watu walikuwa wanasalimiana kwa mikono ya kushoto? kama ndio...kwa nini? kama picha imechezewa.....wahariri wa wa gazeti la Mwananchi walikuwa na maana gani?? nisaidieni.....
 
Ni picha mbili tofauti lakini hata hivyo hiyo picha ya chini ukitizama maandishi ya ukutani yanaashiria imekuwa 'mirrored'...sijui kwa nini! Hata kama wote wangekuwa ni left handed, sio 'utamaduni wetu' kusalimiana kwa mikono ya kushoto.
 
Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.
 
Tecnolojia inaniumiza kicha sana ngoja nikatoe Lock halafu nitarejea!
 
Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.

yaelekea kijana wetu hazijui negative. Hata kioo hajui?
 
Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.
Wewe inaonekana mwalimu wako alipata tabu sana darasani, elewa anachotaka kufahamu muuliza swali, je hawa watu walisalimiana kwa kutumia mikono gani? ya kushoto au ya kulia? hajauliza hadithi za studio huwa kunafanyika nini.
 
ukiangalia hata sumaye na kingunge wambadilishana position,so its mirror effect.
 
View attachment 42057

Hii picha ni kutoka gazeti la majira... ambayo nafikiri ipo sawa....hii ya chini sasa

View attachment 42058\
Hii picha imetoka gazeti la mwananchi....yapo mabo ya kujiuliza hapa... ni kweli hawa watu walikuwa wanasalimiana kwa mikono ya kushoto? kama ndio...kwa nini? kama picha imechezewa.....wahariri wa wa gazeti la Mwananchi walikuwa na maana gani?? nisaidieni.....
Hapana,si mkono wa kushoto.Ni makosa ya uchapishaji tu hayo,angalia maneno hapo nyuma yao.
 
View attachment 42057

Hii picha ni kutoka gazeti la majira... ambayo nafikiri ipo sawa....hii ya chini sasa

View attachment 42058\
Hii picha imetoka gazeti la mwananchi....yapo mabo ya kujiuliza hapa... ni kweli hawa watu walikuwa wanasalimiana kwa mikono ya kushoto? kama ndio...kwa nini? kama picha imechezewa.....wahariri wa wa gazeti la Mwananchi walikuwa na maana gani?? nisaidieni.....

Umesema gazeti ganiiiiiiiii????, Mbona gazeti ulilolitaja lina picha nzuri tu inayoeleweka. Hapa ninalo gazeti la Mwananchi la jana 24.11.2011 " lina picha ya baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu ya chama cha ccm.

Alichokifanya muweka picha, ameikomputelizing picha hiyo ionekane hivyo lakini sivyo inavyoonekana kwenye gazeti. Hii ni kazi ndogo kwa makompyutalists.
 
inaelekea sub editor kwa makusudi kabisa aliamrisha picha hiyo igeuzwe kwa sababu ya mahali ilipo kwenye ukurasa husika.
 
nadhani wewe matola ndo mgumu kuelewa! kama picha ya kwanza(juu) ndo sahihi(original) huwezi kuona kwa macho yako wanasalimiana kwa mikono gani!? kwa kukusaidia wamesalimiana kwa kupeana mikono ya kulia!
picha ya pili(chini) umeambiwa ni mirror effect,chunguza kwa makini;licha ya maandishi ya kwenye background kuwa yamegeuka lakini ukiangalia kwa makini shati alilovaa mzee kingunge kwenye mfuko aliochomeka kalamu unaonekana uko kulia ambapo si kawaida kwa shati lenye mfuko mmoja, kawaida mfuko ungekuwa kushoto!
 
Who is expert in everything is expert in nothing....
Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.
 
Wewe inaonekana mwalimu wako alipata tabu sana darasani, elewa anachotaka kufahamu muuliza swali, je hawa watu walisalimiana kwa kutumia mikono gani? ya kushoto au ya kulia? hajauliza hadithi za studio huwa kunafanyika nini.

Hivi wewe huwa unasalimiana kwa mkono gani? Na hiyo picha inayoonesha wanasalimiana kwa kushoto huoni kuwa ni "mirror effect"? Au huelewi maana yake. Huyo aliyeuliza alikuwa haelewi na sasa kaelewa kama ulivyoelewa wewe.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom