Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,848
- 24,314
Kuhonga ni kitendo Cha kuwa mmwagaji wa maokoto ( fedha) Kwa watu ......so kwenye mahusiano ukiwa mhongaji hizi ni faida kubwa utakazopata-:
1. Kustabilize mahusiano, ukiwa mtoaji wa pesa hakuna pisi itafikilia kukuacha. Mfano Mimi Huwa sijawahi kuachwa but Huwa nawapumzisha tu.. lkni kibunda nawatumia so hii inapa confidence Kila nikimuhitaji Simu Moja tu anakuja ....hata kama kaolewa
2. Confidence inaongezeka, the more unavyohonga ...the more confidence inavyokua ....hii Ina maana unaweza mwambie manzi Yako .... Chochote na akatii....lkn vice versa is true
3. Unaongeza baraka, mfano Mimi jinsi ninavyohonga sana dadaz ndivyo wanavyozidi kuniombea niendelee kuwa na pesa that's y pesa siishiwi
So hii mbinu inatakiwa itumike na Kila mwanaume mwaka 2024
NB: Maneno kidogo ......pesa mingi mwanaume hutakiwi kujieleza sana ..
...bali unatakiwa uwe na financial muscles kubwa
Nakala waione
...Wanaume bahili Tanzania
...Vijana wa hovyo wa kataa ndoa