Hizi ni baadhi ya picha za Sherehe ya mapokezi ya Prof. Anna Tibaijuka (Muleba/Bukoba).

Haya ndi madhara yakukosa busara Hii ni typing error mkuu!
Ujumbe nadhani umekufikia vizuri kabisa maana umephrase vilivyo!

Kashindwa hata kujiongeza kucheki join date ya NATA
 
Last edited by a moderator:
Hivi hizi pongezi huwa ni za nini? Nilitegemea majukumu yake ya kikazi yasingempa muda wa kufikiria kufanya unnecessary and time-wasting event..! Toka ametoka UN na kujiunga na siasa za hapa anazidi poromoka kiutendaji ni bora angebaki kufanya kazi za Kitaalamu zaidi..
 
Hii inanikumbusha pale unapo Kuwa na Sherehe Nyumbani kwako my be ya Kuzaliwa kwako, kuanzia asubuhi unapiga kazi mwenyewe, unapika and then jioni unaoga na kukaa sasa uhudumiwe chakula na vinywaji ulivyo andaa mwenyewe, Ndo haya ya Tibaijuka, hapo kila kitu amendaa mwenyewe na usikute yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya kumpokea yeye
Mkuu umenichekesha mno! Kweli utakuta muuandaji wa shughuli yote ni yeye mwenyewe..Lakini huu ujinga na upumbavu utaisha lini Watanzania?? Matumizi ya pesa kwa shughuli za kijinga kama hizi sasa sherehe ya nini au ndio kusherehekea ulaji umewadia..Mimi binafsi huwa sioni sababu ya watu kufanya sherehe kuuuuuuuuuuuuubwa eti kashinda udiwani uenyekiti ubungu nakazalika..Hii nchi sijui itajitambua lini???
 
this is very serious...environment kama hii si nzuri kwa nchi......ina maana hilo kundi liko tayari kwa lolote ili mradi tu mukono uelekee njia ya kinywa....poverty is expensive!.....when politics means food!!!
 
Hii inanikumbusha pale unapo Kuwa na Sherehe Nyumbani kwako my be ya Kuzaliwa kwako, kuanzia asubuhi unapiga kazi mwenyewe, unapika and then jioni unaoga na kukaa sasa uhudumiwe chakula na vinywaji ulivyo andaa mwenyewe, Ndo haya ya Tibaijuka, hapo kila kitu amendaa mwenyewe na usikute yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya kumpokea yeye

kwa kweli kwenye hiyo bolded aisee umetishaaaa
 
Hii ni kashifa kubwa sana haiwezekani sisi tulipe kodi kununua gari na kumwekea waziri mafuta yeye anatumia kwa shughuli za kichama

I think tibaijuka should answer this to the Parliament

Copy to Nape Nnauye, Etc

attachment.php
MNANIKUMBUSHA MBALIII -----MULEBA KWENYE VITANDA VILIVYOTANDIKWA MIPIRA teheheheheheheh!
 
Haya ndi madhara yakukosa busara Hii ni typing error mkuu!
Ujumbe nadhani umekufikia vizuri kabisa maana umephrase vilivyo!
Asante kwa matusi ndugu yangu..! Naona unanitusi badala ya kunishukuru kwa ushauri
 
viongozi wa ccm wamelewa madaraka,hawaoni wala hawasikii,baada ya kupata serikali makini lazima walipe gharama ya yote wanayoyafanya hata kama watakaokuwa hai ni wajukuu zao,tunawaangalia kwa hasira kali ila kuna wakati itafikia watakuwa hawalindwi na vitu vyenye ncha kali
 
Hata Zanzibar naona mambo ni yaleyale tu tena kwa yule ambaye alikuwa anapiga kelele kabla hajapewa ving'ora. Anatumia mali ya Umma kwanye mikutano ya siasa. Na kibaya zaidi kaweka gamba lake akiwa kasimama nyuma ya gari la serikali. Najua mmojawapo wa viongozi wa juu wa CUF ni mwanachama humu JF, anaweza kutumia huu mwanya kujibu hili.

kin3.JPG

 
Back
Top Bottom