Hizi ndoa za wana JF zingependeza kama ingekuwa hivi?

lmao! nimevumbua ! nimevumbua !

The Following User Says Thank You to Husninyo For This Useful Post:

Asha D (Today)

mtake radhi mwenzio!!! ngombe hazeeki maini mama!! unaweza ukatoka wewe na nanihii mkononi!!! shauri zako.

Mi nashangaa!Ngoja mwanakijiji amsikie talaka leo leo!

mwe, ntoto weye kwa maringo aku chikuweji miye. mi hata kibao, we nchape tu ntavumilia chenji yangu ya roho. sasa embu nambie chwiti angu, cha kukuchurumucha JF ndo kindondocha gani hicho? walahi ntaua ntu miye!!

Maringo nimezaliwa nayo...kupiga sikufunzwa!!Sasa sikia...JF ni jela ya watu ka wewe wanaolazimisha mapenzi...unataka kwenda?!

Naogopa kumtaja asije akanitolea nje live nikalia wiki nzima!!

Alafu mbona we hujapewa?!

Vibuti ni sehemu ya maisha Lizzy. Usiviogope sana. Hivyo ndo hukomaza moyo.

Na sijui kwa nini mimi sijapewa. Ngoja nijipe mwenyewe maana nikisubiri vya kupewa ntasubiri hadi kiama.

mi sijambo wifi yangu. hakuna wa kukutolea nje humu jf banaa,uko juu sana! weh mtaje tu,akijitia sijui nini tunamfanyia ubabe wa primary wa kumchangia/kumdunda siku ya kufunga shule!

Hahahaha...wifi kwanza hujambo wewe?!Namshangaa huyu naniii anajigonga wakati hata sijapangiwa nae...,

Khaaaaaaaaaaa!We umewahi kuwaona mtu na shemejie wakijirusha pamoja huku wakiwa na amani?!

Namshangaa... labda vile anavyowaona sometime pamoja anafikiri ni pair....
Partner hujui Eiyer kua niguse popote lakini sio kuhusu mupenzi..

Hapa magriit thinkaz wanadiskasi nini?

hebu mmoja wenu anifafanulie kwa kifupi.

Maringo nimezaliwa nayo...kupiga sikufunzwa!!Sasa sikia...JF ni jela ya watu ka wewe wanaolazimisha mapenzi...unataka kwenda?!

chacha chwiti untie jela nawe ubaki na ntu gani tena? halafu ntoto weye miye nshakuambia tena utani mwingine utajatoa roho ya ntu! hapo penye rangi kama nanii pale chehemu wanipa raha miye, yaani akili yote chacha waiteka ka chungu cha njomba chanja! khaa, mwaka huu nna raha miye ntoto wa mama!

Vibuti ni sehemu ya maisha Lizzy. Usiviogope sana. Hivyo ndo hukomaza moyo.

Na sijui kwa nini mimi sijapewa. Ngoja nijipe mwenyewe maana nikisubiri vya kupewa ntasubiri hadi kiama.
Sehemu chungu sana ya maisha.,.mi staki!!!

So lets hear who is fit enuff for Nyaniizzo....Eiyer kakupita maana aliogopa kubahatisha kwako!

Hapa magriit thinkaz wanadiskasi nini?

hebu mmoja wenu anifafanulie kwa kifupi.

Ma GT wanazungumzia ndoa, mahusiano na their love life...
ukizingatia huu uzi umekosea kupair... tena Asprin wewe ni shahidi
kua niko na Sweetie (si alikuja kuniulizia mitaa siku ili...lol..)
Mimi na Saint Ivuga wapi na wapi wakati tunashirikiana tu mitaa???
Umeelewa babu wa Lizzy wewe??

mi sijambo wifi yangu. hakuna wa kukutolea nje humu jf banaa,uko juu sana! weh mtaje tu,akijitia sijui nini tunamfanyia ubabe wa primary wa kumchangia/kumdunda siku ya kufunga shule!

Sasa wifi .....nwy ngoja nimrembulie macho labda atanisoma!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom