Hizi ndizo kura alizopata Mhe. Regia Mtema alipogombea Ubunge Morogoro 2010

hizo kura walichakachua Regia alikuwa mshindi.
walaaniwe waliofanya hivyo
 
Lazima mkubali kadari za Mola.
Kama aliweza kumuumba atashindwaje kumchukua. Tunaamini kila kilichoumbwa basi lazima kitakufa.
Na yeye ametangulia sisi tupo nyuma yake. Ni vizuri kumuombea kwa Mola amlaze pahala panapostahikhi na sio kutafutana uchawi.


Amen mkuu kwani watasema mengi sana na hakitabadilika kitu
 
kwa nini wabunge wengi wa CCM wana Imani za kishirikina? watufanya sisi vijana kuogopa kugombea, au kutulazimisha kufika kwa sangoma , nilishangaa kuona hata wenye elimu ya juu wanafanya ka mchezo wa kuagua, miilizi kibao, yaani ni hatari sana.
 
Huyu aliwezaje kuupata ubunge above Regia beats me...........a hooligang by all standards

7fc9c36a-1d78-4073-8e7c-c5ebf6350083.jpg

Ukisoma sana mitandao unaweza kuwehuka. Niliwahi soma comment ya rafiki mmoja wa Regia kwenye FB yake ikisema kuwa anamkwepa huyu bwana kwani ni Gwiji

images
 
MwanaJF Jiwe la Ukara angetujuza sababu ya kuleta takwimu hizi kwa sababu kila mtu mwenye moyo wa kupenda haki anajua wazi kabisa kwamba huyu marehemu alishinda na kupewa cheti cha ushindi lakini ccm kwa kutumia hawa manyang'au UWT wanaoangamiza taifa wakamnyang'anya ushindi. Leo eti wanatoa matokeo haya ili kupima upepo. Fyooooooooooo ninyi UWT nawachukia na kumwomba Mungu awahesabu kuwa ndiyo waangamizi wa taifa hili. Adhabu yao itakuwa hata kizazi cha tatu na cha nne kama Biblia isemavyo.
 
Alichakachuliwa huyu Kumbe aikuwa na kura nyingi namna hiyo.
Wana JF tumuombee Regia aende Salama na akapumzike kwa amani
tusiingize mambo ya ushirikina jamani tuamini kwamba Mungu ndie ajuaye katika maamuzi yake,Tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi
Huyu aliyetangazwa mshindi nilishawahi kusoma mahojiano yake kwenye gazeti mojawapo la kila jumatano
Kama ni uwezo wa kujenga hoja,ufahamu wa kazi ya bunge,utendaji na ubunifu na katika shughuli za maendeleo na vingine vyote
asigeweza kumshinda kabisa marehemu RM
 
Mbali na kuchakachua matokeo ya kura, mbinu nyingine kubwa aliyokuwa akiitumia babu Mteketa ni ile ya kununua shahada za kupigia kura toka kwa watu hasa walalahoi. Haya niliyashuhudia pale Ifakara ambapo Ununuzi wa shahada hizi ulikuwa ukifanyika nyakati za usiku. Hii ilinisikitisha sanaaaa na ndipo nilianza kujenga chuki na ccm. Kwenye demokrasia ya kweli hii ni mbinu chafu sana ambayo babu Mteketa aliitumia saana!! Hata hivi tunamsubiri 2015...ole wake!!
 
Tapeli mkubwa Mteketa ndio alimshinda kiongozi wa watu...kweli TZ inakazi,hadi matapeli kwenye siasa?
 
De facto ni Mbunge kwa kwani anawakilisha idadi hiyo ya waliompigia kura...de jure tusubiri maamuzi ya mahakama
 
Back
Top Bottom