ubongo wa mbeleUnafikiri kwa kutumia nini?
ubongo wa mbeleUnafikiri kwa kutumia nini?
Mtoa mada mvivu wa kufikiri kila course inatetegemea mwenzake so think big.
Hakuna kozi inayodharaulika kama medicine maneno ya watu tu hamna lolote ningekua ndo namaliza form six nisingesoma medicine
mtu yoyote anaweza akafundisha so EDUCATION sio muhimu mtu mwenye degree ya ENGINEERING anaweza kufundisha physics,chemistry na maths,mtu mwenye degree ya MEDICINE anaweza kufundisha chemistry na biology so degree ya EDUCATION sio ya muhimu
We dume zima utasomeaje ualimu bana,hata haipendezi!
na ukafundishwe na ------ ya mama yako
Najua unasoma EDUCATION ndio maana umechukia
nina shahada 2 za elimu. cjui wewe unasoma nn cha kuniringia mdogo wangu
kozi muhimu kuliko zote duniani ni 1.biashara .
Kwani hata nnchi inafanya biashara.hakuna nnchi inayofanya kazi ktk nnchi ingine.
Pia, tajiri wa 1 duniani sii mfanyakazi.ni mfanya biashara.
So hii ndio fani bora duniani na yakwanza.
Najua unasoma EDUCATION ndio maana umechukia
nina shahada 2 za elimu. cjui wewe unasoma nn cha kuniringia mdogo wangu