Tariq f
JF-Expert Member
- Dec 11, 2021
- 233
- 345
Sina uhakika sana na wala sio wa muumini wa hivi vitu ila kama itakuwa kweli basi hizi imani zimekuwa changamoto sana hapa dsm
Nilikuwa katika harakati zangu za kutafuta fremu kwa ajili ya biashara na nikapata baadhi, kitu cha ajabu nilipokuwa nikiulizia kuhusiana na baadhi ya hizo fremu kwa watu wa karibu niliambiwa kuwa ili nifanye biashara hapo inabidi niwe mzito kwa mambo ya kishirikina la sivyo sitaweza, maana waliotoka nao walishindwa kutokana na kutojipanga kishirikina kwani hilo eneo si la kitoto
Fremu nyingine naambiwa hata kama nitapanga basi kazi bure maana mtaa huo ni wahuni ukifanya biashara hela yote wanachukua wakulungwa kwa hiyo lazima ujipange kisawa sawa
Najaribu kuwaambia kuwa imani yangu ni kwa mungu na naamini kwenye dua lakini jamaa wamekuwa wagumu kunisisitiza kuwa kujipanga kishirikina ni muhimu kwani waliotoka na kula hasara walikuwa ni kama mimi
Nabaki nachoka sana huku nikijiuliza inakuwaje haya masuala, au mimi nd mjinga wenzangu wote wanaofanya biashara wanatumia ushirikina!!??
Sijaelewa haya mambo mpaka naanza kuogopa sasa hili jiji lipoje