Hizi hapa Makala za kuangalia YouTube

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Best YouTube Documentaries Picks to Watch

1. The Face of Anonymous— Moconomy

2. Betrayal ans Brainwashing — DW Documentary

3. The Conspiracy Theory of Everything — Spirit Science

4. Inside the Engineering Megaproject that Went Horribly Wrong — ABC News In-depth

5. Mauritania: Young Girls Force-Fed —Free Documentary

6. Ancient Islands: Ghost City of the Pacific —Nat Geo

7. Companies at the Limit — Moconomy
 
Ninazo nyingi sana mimi ni mzee wa documentary nikiingia YouTube hata subscribed channels pia ,kuna moja inawazungumzia Gadafi ,Idi Amini na Stalin ile ni kali kinyama
 
Ninazo nyingi sana mimi ni mzee wa documentary nikiingia YouTube hata subscribed channels pia ,kuna moja inawazungumzia Gadafi ,Idi Amini na Stalin ile ni kali kinyama
Hiyo inaitwa A Day in the Life of a Dictator. Haina ukali wowote kwakuwa ni western propaganda tu. For the most part wamejaribu kushawishi audience kuwa hao jamaa watatu walikuwa makatili tu walioziibia nchi zao lakini huwezi kuona wakiongelea Hitler, Musollini, ukatili wa akina Bush na Blair huko Iraq.
 
Nimevutiwa zaidi jinsi walivyopanga events na quality ya video.

Mbona wameweka evidence za wazi karibu kila jambo waliloeleza ? labda useme kuwa wamekuwa wanazi kea kuonyesha mambo hasi ya viongozi hao bila kuweka upande chanya.
 
Ilm Film wameamua kujiondoa You Tube kutokana na vitisho kutoka Mamlaka mbalimbali kwa documentary zao za kibobezi na zenye uchunguzi wa kina kuhusu mambo mbalimbali natamani nijue sasa hivi wapo site gani niwafuatilie.
 
Nimevutiwa zaidi jinsi walivyopanga events na quality ya video.

Mbona wameweka evidence za wazi karibu kila jambo waliloeleza ? labda useme kuwa wamekuwa wanazi kea kuonyesha mambo hasi ya viongozi hao bila kuweka upande chanya.
Hiyo ndio point yangu. Yani ile documentary imelenga zaidi kuwaonyesha mabaya yao (mengine sio ya kweli) na kuficha mazuri au nia zao nzuri walizokuwa nazo.
 
Kweli tumetofautiana . Mimi lazima niangalie fluctus channel. Sam chui, justplane. Airbus, dw documentaries. Zach king. Na briddon production. Hizi ni top list.
 
Back
Top Bottom