Ziko wapi?Naona sana nikisafiri kwenda mikoa tofautitofauti naona hizi alama/mabango kwenye barabara... Huwa zinamaanisha nini wazee wa RoadSite..?
Zinamaanisha uende shule ya Udereva.Naona sana nikisafiri kwenda mikoa tofautitofauti naona hizi alama/mabango kwenye barabara... Huwa zinamaanisha nini wazee wa RoadSite..?
Jibu zuri saaanaass...Zinamaanisha uende shule ya Udereva.
Amekwambia yeye ni dereva?Zinamaanisha uende shule ya Udereva.
Nimesoma udereva na sijawahi kujua maana yake, itabidi nirudi shuleNani alikupa leseni bila kusomea?
Barabara kuu ya kitaifa na kila moja ina namba/ code mf ya dar - tunduma ina namba yake moja,ya dar Arusha,dar mza nk. Code inaanza na TToeni jibu kama mnajua...acheni masihara wengine tunajifunza kupitia hizi forum hapa jf. Jf ni zaidi ya darasa.
Bila picha ni umbeaNaona sana nikisafiri kwenda mikoa tofautitofauti hizi alama/mabango kwenye barabara, mfano; T6 Dar es Salaam au T4 Mtwara.
Huwa zinamaanisha nini wazee wa RoadSite?