Hivi Yusufu Manji kumtaka Mengi amlipe fidia ya shiling 1 ni dharau au?

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
Nimeshangazwa sana na huyu muhindi kumtaka mengi amlipe fidia ya sh moja na kumtangaza kwa kumuomba radhi mara saba kwenye TV yake kwa kweli usicheze na ubabe wa pesa.
 
Hujawahi kusikia wabunge wakitishia kuondoa shilingi kwenye mshahara wa waziri asipojibu hoja vizuri !
 
Back
Top Bottom