Hivi wazenj wapo juu kielimu? makamo wa rais Dk JUMA, DK SHEIN, DK BILAL

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
kwa awamu 3 tofauti, Zanzibar imetoa wasomi wa hali ya juu ktk siasa za tz hasa ktk nafasi ya makamo wa rais. yaani dk bilali, dk shein na dk Omar Ali Juma(marehemu).
jee hii ni tafsiri gani ktk siasa za tanzania?
 
Mkuu, (angalizo) Dkt Omar siyo Phd holder namfaham uzuri sana!
 
sio kila ukisikia Dk maana yake mtu kasoma saana.

1. kuna Dk wanaopewa shahada za juu (phd) za heshima.
2. Kuna Dk ambao wana PhD za kusotea chuoni.
3. Kuna Dk ambao wana digrii moja ya utabibu wa watu (hospitali)-Medical doctors
4. Kuna Dk ambao wana digrii moja ya uganga wa mifugo (BVM)
 
Sijui ina tafsiri gani labda utuambie mwenyewe unawaza nini??? Kwa upande wa Zanzibar wasomi wapo wengi zaidi kisiwa cha pemba ikilinganishwa na unguja. Wote uliowataja wanatoka pemba na wengine ni marehemu Prof. Harubu Othman, Maalim Sheif, Dr. Salim H. Salim, na wengine wengi tu.
 
Mkuu, (angalizo) Dkt Omar siyo Phd holder namfaham uzuri sana!

sio kila ukisikia Dk maana yake mtu kasoma saana.

1. kuna Dk wanaopewa shahada za juu (phd) za heshima.
2. Kuna Dk ambao wana PhD za kusotea chuoni.
3. Kuna Dk ambao wana digrii moja ya utabibu wa watu (hospitali)-Medical doctors
4. Kuna Dk ambao wana digrii moja ya uganga wa mifugo (BMV)

hata dk shein ni daktari wa mifugo aliyekimbia fani, hahah
 
kwa awamu 3 tofauti, Zanzibar imetoa wasomi wa hali ya juu ktk siasa za tz hasa ktk nafasi ya makamo wa rais. yaani dk bilali, dk shein na dk Omar Ali Juma(marehemu).
jee hii ni tafsiri gani ktk siasa za tanzania?

vyuo vya uarabuni hivyo ndugu: ukiwa mlaji mzuri wa tende unapewa PhD
 
vyuo vya uarabuni hivyo ndugu: ukiwa mlaji mzuri wa tende wanampa PHD

watende haki, cv zote hizo ni kutoka ulaya baba/mama na sio wala tende. punguza udini kidogo, wamesoma shule za wa ulaya wengi wao huko ualya ni wakiristo
 
ata wakristo wanakula tende. sema ukila sana ata ukajulikana arabuni unapewa PhD na vyuo vya Uturuki
 
E bwanae! Tujiulize hizi elimu zao zimeisaidia ni Zenji,iwe degree ya ulaya, arabuni, dodoma na kwingineko.
 
kwa awamu 3 tofauti, Zanzibar imetoa wasomi wa hali ya juu ktk siasa za tz hasa ktk nafasi ya makamo wa rais. yaani dk bilali, dk shein na dk Omar Ali Juma(marehemu).
jee hii ni tafsiri gani ktk siasa za tanzania?

Wote hao walitakiwa kuwa maabara na sio majukwaani....shame on you and them
 
kwa awamu 3 tofauti, Zanzibar imetoa wasomi wa hali ya juu ktk siasa za tz hasa ktk nafasi ya makamo wa rais. yaani dk bilali, dk shein na dk Omar Ali Juma(marehemu).
jee hii ni tafsiri gani ktk siasa za tanzania?

Wengi wao ni madaktari wa mifugo.
 
Sijui ina tafsiri gani labda utuambie mwenyewe unawaza nini??? Kwa upande wa Zanzibar wasomi wapo wengi zaidi kisiwa cha pemba ikilinganishwa na unguja. Wote uliowataja wanatoka pemba na wengine ni marehemu Prof. Harubu Othman, Maalim Sheif, Dr. Salim H. Salim, na wengine wengi tu.

Siyo kweli maneno yako hayo Pro Haroub Othman siyo mpemba ni mtu wa unguja na Dr Salim mzee wake mmoja anatoka ni mtu wa Unguja na mwengine wa Pemba na yeye amezaliwa Unguja.Na inaonesha watu hapa wana dharau sana na wengine ubaguzi sijui.kwani vyuo walivyosoma wao huwezi kuvilinganisha na Uozo wenu wa UDSM.

Dr Shein
He started his primary education and GCE “O” Level,from 1956–1964 at Lumumba College, Zanzibar. In 1969–1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for “A” Level High Education before undertaken undergraduate course from 1970–1975 at Odessa State University, USSR 1984–1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle Upontyne England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (Ph.D) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in “Inborn Errors of Metabolism.

Dr Omar
Attended primary school education between 1949 and 1957 at Chake Chake Boys' School. From 1957 to 1960 he was at Euan Smith Secondary School (now Haile Selassie Secondary School) where he attained an Ordinary Level School Certificate. In 1960 he joined the Moscow State University and was awarded with an Advanced Level Certificate in 1962 and seven years later, at the same college, he attained a Bachelor's degree in Veterinary Medicine and Surgery. For a year from 1969 he was at Cairo University for a post graduate certificate in Animal Production and Health. In 1976 he attended a one year course for a Post Graduate Diploma in Tropical Veterinary Medicine at Edinburgh University. In 1982 he joined the University of Florida in the USA for a short course in Veterinary Science and two years later he was at Reading University, UK, for a Livestock Economics course.

Sasa sijui hivyo vyuo walivyosoma ni vya nchi za kiarabu?
 
Wel said, chuki na arabforbia tu hawa ndio ugonjwa unaowasumbua hao
 
Back
Top Bottom