Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Tatizo la wafuasi wa Chadema mna tabia kama za viongozi wenu matusi ya nini sasa. hamtakaa mwendelee sababu ya upumbavu mnatakiwa mkue
2005 walikuwa 15, 2010 wako 48 subiri 2015 ndo utajua kama wanaendelea au hawaendelei. usiropoke tu be critical

We nani kakudanganya wabunge pinzani hawaombi mwongozo chama tawala wakiwa wanaongea! hata kama wanalalamika lkn hiyo si style nzuri ya kuwasilisha kunyanyaswa kwao wafate utaratibu. wao ndo chanzo cha kuonekana Comedy
kama wewe kweli ni mfuatiliaji wa bunge na mkereketwa wa siasa ya bongo na mzalendo wa kweli, naamini umeona leo Mh Moses Machali amesimama kuomba mwongozo cha kushangaza naibu spika alipomwona akajizubaisha kana kwamba hajamwona mpaka Mh Machali akaamua kukaa, kwa naman hiyo nani atakayevumilia upendeleo huo wa wazi siku zote.

Hivi ni kuipenda chadema au bundi ni bundi tu hata awe mti mrefu?

Lisu na lema hawana hadhi ya kuwa wabunge, walistahili wawe viongozi wa makuli bandarini au viongozi wa wafyatua tofali, bunge ni semu ya kutumia akili zaidi kuliko nguvu na jaziba zaid. Wajueni watu kabla hamjashabikia, lissu alikuwa mgonjwa wa akili ana miaka miwili tu tangu apone na haijulikani kama hicho kichaa kimeisha kabisa, nendeni ikungi mkaulize.

Lema kweli nanyi mshahidi hana compromise hata kidogo mnaopenda hali hiyo mtampenda lakini kiongozi anatakiwa awe na kiasi kwa mambo anayofanya, huwezi hata pakuua nzi unatumia bunduki

kwa mtu mwenye akili timamu na busara atajibu si sawa, jibu ambalo ni sahihi kabisa. Ila tukigeuza upande wa pili wa shilingi utakuta kuna wabunge wa ccm wanafanya tabia za kipuuzi hali inayopelekea hawa masela wa cdm kulipuka tu kwani busara kwa baadhi yao ni ndogo. Wabunge wengi wa ccm wanaofanya upuuzi kama huu wa malimbukeni wa cdm ni wale wa viti maalum. Tunaomba wabunge wote wa ccm na upinzani kwa ujumla wajirekebishe hatukuwachagua wakatuoneshe wanayoendelea kutuonesha.

Umenifurahisha sana Mr. Mark kwani umeuma kokote
CCM - wapuuzi
CDM - masela

Hivi ndio vyama tunavyovitegemea viisimamie serikali kutuletea maendeleo. CCM na CDM oyeeeeee!!!????

sasa wewe ulitaka wakae kimya!! huyo lukuvi ndio aliyeanza kuvuruga utaratibu wa bunge.
ukimwaga mboga tunamwaga ugali....

hamna aliekataa lkn wafate utaratibu sio kukurupuka tu kuanza kupiga kelele
Utaratibu,ustaarabu,uungwana,kulindanana, umwenzetu nk. ndivyo vimetufikisha hapa...leo ccm inalaumiwa kila kona ya nchi hii kwa ufisadi...wewe kama ni ccm safi anza kupiga kelele kwani ni wachache miongoni mwenu wanaoiua nchi kwa mgongo wa chama...unless wewe ni miongoni mwao...nina ndoto mbaya juu yenu..siku moja umma utawanyoa nywele kwa chupa tena hadharani..wakati unaongea..

Jana usiku nilikuwa natazama "recorded" program ya bunge la jana mchana, nikasikitika sana wanavyo act hawa wabunge vijana wa magwanda, mara wacheke mara wazodoe, yaani wanafanya mambo ya kitoooto kabisa pale bungeni, wanafikiri ni sifa hawajui kuwa "ngoma ikivuma sana hupasuka". Walimuuliza swali, Balozi Kagasheki, kabla hajamaliza kujibu, majibu mazuri tu, wakaanza kumcheka hata bila ya kungoja amalize kusema, kama si ujinga nini hicho?

Balozi kagasheki ni mtu mmoja ambae anaheshima zake na ni mcheshi kwa wote, kumfanyia vile haikuwa ustaarabu hata kidogo, hii inaonesha how shallow they are.

Jana usiku nilikuwa natazama "recorded" program ya bunge la jana mchana, nikasikitika sana wanavyo act hawa wabunge vijana wa magwanda, mara wacheke mara wazodoe, yaani wanafanya mambo ya kitoooto kabisa pale bungeni, wanafikiri ni sifa hawajui kuwa "ngoma ikivuma sana hupasuka". Walimuuliza swali, Balozi Kagasheki, kabla hajamaliza kujibu, majibu mazuri tu, wakaanza kumcheka hata bila ya kungoja amalize kusema, kama si ujinga nini hicho? Balozi kagasheki ni mtu mmoja ambae anaheshima zake na ni mcheshi kwa wote, kumfanyia vile haikuwa ustaarabu hata kidogo, hii inaonesha how shallow they are.

jf hate preacher

• Thanks
Reactions: LAT

Revealed : JF Hate Preacher

2005 walikuwa 15, 2010 wako 48 subiri 2015 ndo utajua kama wanaendelea au hawaendelei. usiropoke tu be critical

Tunza hizi hesabu, tutaziangalia tena 2015. Kama siasa ingekuwa inafuata mstari huo basi JK angepata asilimia 160 baada kupata 80 mwaka 2005.

Mwanangu Njagwa Chacha (sijui kama ni jina la kweli!) inaelekea labda wewe hufuatilii kinachoendelea bungeni kwa umakini unaostahili. Nadhani kama ungefanya hivyo usingehangaika kuuliza swali hili.
We unazumngumzia haki gani.
Kwa kifupi ni hivi, huko nyuma bunge letu lilikuwa la chama kimoja, kama ni kupinga hoja walipingana wenyewe kwa wenyewe na hakuna aliyeonekana msaliti au mpinzani.

Baada ya mfumo vyama vingi kukubalika waliingia wabunge ambao hawakuwa wanacc, na hawa walionekana kama wapinzani wasiokubalika, wanaotaka kuingilia maslahi ya ccm.
Mwanzo wa vyama vingi hawa wanaoitwa wapinzani walikuwa wachache sana na sauti zao hazikusikika sana, kumbuka hata wananchi uelewa wao bado ulikuwa mdogo sana kuhusu nini hasa maana ya siasa za vyama vingi. Taratibu wapinzani wenye hoja wanaowakilisha wananchi walio na uelewa mkubwa kuhusu haki zao sasa wanaongezeka katika bunge letu ambalo bado lina wabunge wengi wa ccm, waliokwishajenga tabia ya kutopingwa kwa hoja yoyote watakayotoa pale bungeni.

Taratibu wakaona wanapingwa waziwazi na kwa hoja nzito ambazo kwao si jadi. Spika, naibu spika, wenyeviti na wengine wote wanao ongoza mijadala ya wabunge ambao kijadi wao ni WANA CCM na utamaduni wao ni kupendelea kila kitakachosemwa na mbunge wa ccm nao kasi hii ya wapinzani wameshindwa kwenda nao. Nao wamebaki kuwa mashabiki wa kugandamiza wapinzani wanapotoa hoja, wananyima wapinzani hasa wabunge wa CHADEMA uhuru wao wa kutoa hoja.
Huu ndio mwanzo wa yote yanayofanywa na wabunge wote wa CCM na CHADEMA. Tatizo sio la CHADEMA tatizo ni mfumo wa uendeshaji wa bunge ambako ndani yake kuna wanaopendelewa na kubebwa (CCM) na wanaotafuta kujinusuru kutoka kwenye makucha ya unyanyasaji (CHADEMA na WANANCHI).
Uvumilivu una mwisho wake, kama Spika na waendesha bunge wote hawatajirekebisha tutaendelea kuona malumbano haya yasiyo na mwisho. Hapo wabunge wa upinzani bado ni wachache sana, naapa kama wangekuwa 1/3 ya wabunge wote tungeona makubwa.

Tunza hizi hesabu, tutaziangalia tena 2015. Kama siasa ingekuwa inafuata mstari huo basi JK angepata asilimia 160 baada kupata 80 mwaka 2005.

wewe ni kilaza sana ..... hesabu ya JK ina -ve trend

2005 - 83%

2010 - 61% Minus 22%

2015 - 39%

vua miwani yako ya mbao

Wabunge wa Chadema siyo yes Men, kwa watu wenye mawazo mgando wataona wanafanya vibaya kumbe wanapambana na udhalimu wa speaker na naibu wake pamoja na wabunge wa CCM ambao kazi yao ni kuchapa usingizi bungeni.

we chacha acha utoto bhana unaonekana ndio walewale, sasa alie anzisha makelele ni nani kama sio Lukuvi? na tatizo laki hutaki mabadiliko wewe ndio maana unawalaumu wabunge wa chadema, wabunge wa chadema wanafanya yote yale kwa faida ya watanzania, angalia serikali ya ccm inavyo fanya madudu halafu wew unasema utumbo kwa wapiganaji wetu! acha wapige kelele ndio vilanja wa bunge watajua kuwa watu hawataki ujinga, Makinda si alisema tangu mwanzo kuwa atawaziba midomo wapinzani? sasa kama watu wamesha jipanga kuziba midomo wapinzani bila mbinu wanayo tumia wapinzani watanzania tutapataje kupona? acha utoto bwana chacha na u ccm wako huo

Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo tena kamaTundu Lisu ndo nothing.

Mbona hukumalizia?! "unasikitishwa sana na tabia za wabunge wa Chadema" Na unafurahishwa sana na tabia za wabunge wa ccm! Uongo?! Ulidanganywa wapi kuwa ukitumia id hiyo utaeleweka hapa?! Jiandae kusikitika zaidi maana hatujamaliza hata mwaka... Vipi mgao wa jairo ulikufikia? Una bahati sijui kutukana... Nehe ukurwera mbarera? Nsaro khe öre orhemosaghane/umurisia.

we chacha acha utoto bhana unaonekana ndio walewale, sasa alie anzisha makelele ni nani kama sio Lukuvi? na tatizo laki hutaki mabadiliko wewe ndio maana unawalaumu wabunge wa chadema, wabunge wa chadema wanafanya yote yale kwa faida ya watanzania, angalia serikali ya ccm inavyo fanya madudu halafu wew unasema utumbo kwa wapiganaji wetu! acha wapige kelele ndio vilanja wa bunge watajua kuwa watu hawataki ujinga, Makinda si alisema tangu mwanzo kuwa atawaziba midomo wapinzani? sasa kama watu wamesha jipanga kuziba midomo wapinzani bila mbinu wanayo tumia wapinzani watanzania tutapataje kupona? acha utoto bwana chacha na u ccm wako huo

Hivi ni kuipenda chadema au bundi ni bundi tu hata awe mti mrefu?

Lisu na lema hawana hadhi ya kuwa wabunge, walistahili wawe viongozi wa makuli bandarini au viongozi wa wafyatua tofali, bunge ni semu ya kutumia akili zaidi kuliko nguvu na jaziba zaid. Wajueni watu kabla hamjashabikia, lissu alikuwa mgonjwa wa akili ana miaka miwili tu tangu apone na haijulikani kama hicho kichaa kimeisha kabisa, nendeni ikungi mkaulize. Lema kweli nanyi mshahidi hana compromise hata kidogo mnaopenda hali hiyo mtampenda lakini kiongozi anatakiwa awe na kiasi kwa mambo anayofanya, huwezi hata pakuua nzi unatumia bunduki

Umesemaje?! Sehemu ya kutumia akili kama jairo kuwagawia wabunge wa ccm rushwa? Afadhali mgonjwa wa akili anayetetea wanaoonewa kuliko anayejidai ana akili huku anaenda kulala na kutetea wanaolala bungeni. Chama cha 'wenye akili' kimekuwa madarakani kwa miaka hamsini na tumeona walipotufikisha.. Na bado mwenye akili asiyejua kuwa makuli ni binadamu kama yeye anahitaji wenye 'akili' bungeni!! Mwaka huu mnalo.

Jana usiku nilikuwa natazama "recorded" program ya bunge la jana mchana, nikasikitika sana wanavyo act hawa wabunge vijana wa magwanda, mara wacheke mara wazodoe, yaani wanafanya mambo ya kitoooto kabisa pale bungeni, wanafikiri ni sifa hawajui kuwa "ngoma ikivuma sana hupasuka". Walimuuliza swali, Balozi Kagasheki, kabla hajamaliza kujibu, majibu mazuri tu, wakaanza kumcheka hata bila ya kungoja amalize kusema, kama si ujinga nini hicho? Balozi kagasheki ni mtu mmoja ambae anaheshima zake na ni mcheshi kwa wote, kumfanyia vile haikuwa ustaarabu hata kidogo, hii inaonesha how shallow they are.

Kagasheki angekuwa na heshima zake angewachukulia hatua wawekezaji/wauaji na watendaji wa serikali wa mkoa wa Mara waliomdanganya kwenye issue ya sumu Nyamongo.

Hivi ni kuipenda chadema au bundi ni bundi tu hata awe mti mrefu?

Lisu na lema hawana hadhi ya kuwa wabunge, walistahili wawe viongozi wa makuli bandarini au viongozi wa wafyatua tofali, bunge ni semu ya kutumia akili zaidi kuliko nguvu na jaziba zaid. Wajueni watu kabla hamjashabikia, lissu alikuwa mgonjwa wa akili ana miaka miwili tu tangu apone na haijulikani kama hicho kichaa kimeisha kabisa, nendeni ikungi mkaulize. Lema kweli nanyi mshahidi hana compromise hata kidogo mnaopenda hali hiyo mtampenda lakini kiongozi anatakiwa awe na kiasi kwa mambo anayofanya, huwezi hata pakuua nzi unatumia bunduki

Umesemaje?! Sehemu ya kutumia akili kama jairo kuwagawia wabunge wa ccm rushwa? Afadhali mgonjwa wa akili anayetetea wanaoonewa kuliko anayejidai ana akili huku anaenda kulala na kutetea wanaolala bungeni. Chama cha 'wenye akili' kimekuwa madarakani kwa miaka hamsini na tumeona walipotufikisha.. Na bado mwenye akili asiyejua kuwa makuli ni binadamu kama yeye anahitaji wenye 'akili' bungeni!! Mwaka huu mnalo.

Hivi ni kuipenda chadema au bundi ni bundi tu hata awe mti mrefu?

Lisu na lema hawana hadhi ya kuwa wabunge, walistahili wawe viongozi wa makuli bandarini au viongozi wa wafyatua tofali, bunge ni semu ya kutumia akili zaidi kuliko nguvu na jaziba zaid.

Wajueni watu kabla hamjashabikia, lissu alikuwa mgonjwa wa akili ana miaka miwili tu tangu apone na haijulikani kama hicho kichaa kimeisha kabisa, nendeni ikungi mkaulize. Lema kweli nanyi mshahidi hana compromise hata kidogo mnaopenda hali hiyo mtampenda lakini kiongozi anatakiwa awe na kiasi kwa mambo anayofanya, huwezi hata pakuua nzi unatumia bunduki
Hivi naomba kuuliza wewe umepima akili yako?

Inawezekana ukawa na tatizo la akili na sio kidogo, Ujinga ni kitu kibanya sana zaidi kwani mjinga huwa na macho masikio mawli, hata sura ya mvuto lkn ujinga umfanya asisikie, asione, na wala asiwe na mvuto!

Naona ni bora kutolewa nje kuliko kukaa ndani umefunga domo eti kwa sababu ya kuonekana mzuri, Nchii hii kubadilika haitaji nidhamu ya uoga ambayo imetufikisha hapa. Nyie mnayoiitaji kwa kuwa washua wenu wanapata makombo poa tu kwani ndio uonapo wewe!!

Back
Top Bottom