Hivi wa Dar Es Salaam ni wepi?

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Hapa ninapata kigugumizi kujua hasa wazee ambao huwa anaongea nao Mhe. JK ni akina nani, kwani wanaooneka kuongea nao huwa ni wazee wa CCM kwa mtazamo wangu na kwa muonekano wao.

Hebu tusaidieni jamani wenye ufahamu zaidi maana kunakuwa na mkwamo wa mawazo juu ya wazee hawa wa Dar Es Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom