BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,148
- 2,160
Umeme juu kwa 40% wapo kimya....gharama za maisha kwa watanzania juu bado kimya....mishahara kiduchu kwa wafanyakazi mnaishia kuongwa na serikali then kimyaaaa...sasa waTanzania wawaeleweje? kwanini msijifunze kwa wenzenu wa Afrika kusini na Nigeria jinsi wanavyosimamia mpaka serikali zao zinawaheshimu...huu sio muda kwa viongozi kwenda maofisini na kusaini ili mwisho wa mwezi mlipwe tena mara kumi zaidi ya wafanyakazi wenu wanaowachingia ili muwatetee......what is you are role then?