GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 5,278
- 11,662
Moja kwa moja kwenye, swali kama linavyosomeka hapo juu.
Huku Afrika mara nyingi kila uchao tunapambana na Ufisadi.
Ufisadi na ubadhirifu wa Mali za Umma, ni kizingiti kikuu katika kuyafikia maendeleo ya kweli.
Sasa katika kutafakari nikajiuliza swali, hawa ndugu zetu wa mbali, Wamagharibi almaarufu Wazungu, nao huwa wanasumbuliwa na hii kadhia.
Na je wanafanyaje kukabiliana nayo.?
Hapa JF najua kuna watu wameishi au wanaishi huko ambako watoto wa mjini wanapaita "mambele".
Mtusaidie majibu.