PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,815
Habari ndio hiyo inavuruga maini na figo zitachanganyikana
Umenichekesha. Hapa ndo huwa sielewi wakati.wengine wanalalamikia vibamia.wengine wanaogopa ukuni. Kwahiyo hiyo inaonesha kwamba kila mtu ana mwenza wake sahihi ila shida ni kujua ni yupi. Maana mpaka ujaribu.