nkumbison
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,223
- 2,973
binafsi mimi ni mpenzi na shabiki wa NOKIA na BLACKERRY kuliko android ingawa maisha ya kitechnology yananilazimu nimiliki android device.
ujio wa android umepunguza mauzo ya BLACKBERRY kiasi cha kampuni kuelekea kukosa wateja hasa wa hali ya chini. but tukija katika uhalisia BLACBERRY OS ni BORA KULIKO ANDROID hasa katika masuala ya kibiashara na usiri wa docment zako. wengi wa wanaoziponda blackberry hawajawahi kutumia, na kama walitumia basi ni kwa muda mfupi sana kiasi cha kutokuzifikia sifa za BB OS, so kushindwa kukitumia kitu haina maana hakina ubora. kwa mfano, Binafsi sioni kama kuna chatting application kali ktk android inayoizidi BBM na hasa ukiitumia ktk BB OS.
pia Blackberry zilipoingia ilikuwa kuimiliki tuu kunakuongezea heshima maradufu na zilikuwa simu za gharama sana kama ilivyo iphone leo hii, nasema iphone coz kuna watu wako radhi kuichagua tecno huku wakikwambia iphone hawaipendi kisa ngumu kuielewa. hvyo hvyo ndivyo ilivyokuwa kwa BB OS, kutokana na kukalilishana bado watu wanaulizia BlackBerry imepotelea wapi tena bila aibu humu humu ktk huu uzi watu wanasifia Android Device eti bora kuliko Blackberry, labda niwaulize, Blackberry sio Android device? au mna maanisha BlackBerry OS? basi kama ni hvyo, BlackBerry wana Android Device, je mmejaribu kutumia?
huko mbele nawaona Blackberry na Nokia wakija kuchukua nafasi zao hasa baada na wao kuanza kutoa smartphone zenye Android. nasema hvyo kwa maana hawa jamaa bado wanalipwa hela mingi mingi na makampuni hayo ya simu mnayoyaona bora kwa kutumia technology zao kuboresha device zao. mfano, hakuna device zenye mpango bora wa keyboard kama BlackBerry, ukija kwa Nokoa ndio kabisa wakisema wazuie Makampuni mengine yasitumie mautundu yao ujue ni shida.
so blackberry kama device bado wako vizuri sana tuu, ingawa ujio wa android uliwatikisa kidopgo ila nao wameona waingie na huko bila kutoka katika asili yao so ukitaka BlackBerry ya BB OS unapata ukitaka android unapata.
Chanzo cha Yote ni ANDROID kuwaq OS ya BURE, so yeyote mwenye wazo la kuiboresha anakubaliwa, ukiweza kutengeneza device OS unaipata tuu, so ni tofauti na BB wanaoanza kutengeneza Os wao wenyewe na device wao wenyewe.