Hivi ulishawahi kujiuliza baba yako na mama yako walikupataje?

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua miguu, au mama alipigwa gwaride hadi ukapitikana. Je ulishawahi kujiuliza mimi najiuliza ila sipatagi majibu.
 
Nitonye kaulize baba yako na mama yako kwanza na jibu utakalopewa litatusaidia. Kama huna familia siku ukipata mtoto utaacha utoto.
 
Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua miguu, au mama alipigwa gwaride hadi ukapitikana. Je ulishawahi kujiuliza mimi najiuliza ila sipatagi majibu.

Hivi wewe Nitonye, yaani katika msongo mkubwa huu wa mawazo ya watu kukosa ajira na kulala njaaa, wewe hii ndiyo topic ambayo umeona inafaa kuwekwa hapa uwanjani! au ndio umekurupuka kutoka kwenye bar za Kimpumu? Inatisha. Bora ungeipost jioni tungeamini kuwa maisha yamekukaba koo. Jipange upya.
 
Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua miguu, au mama alipigwa gwaride hadi ukapitikana. Je ulishawahi kujiuliza mimi najiuliza ila sipatagi majibu.

nitonye, mbona huendi sambamba na jina lako? We utataje majibu pasipo kuyatafuita kwa wahusika? na mama yako ndo mwenye majibu mazuri, kwani baba yako kesha sahau kila kitu na inawezekana unayemtambua kuwa ni baba yako, kumbe sio, ipo njemba pemben haina mpango na wewe. mwulize mama yako, usitafte majibu ambayo ukweli wake hukuwa sehem ya ukweli huo
 
mwsho atataka kujua siku walio do ukapatikana.huku sasa kutafuta laana kwa nguvu.
 
mimi nahisi hiyo siku kulikuwa na baridi sana,maana mwezi niliozaliwa ,watoto wengine wengi walizaliwa mwezi huohuo,kulikuwa na Baby-BOOM mtaani kwetu,so nahisi ilikuwa baridi.....mwacheni nitonye aanzishe weekend poa.....nishaliwazaga hili,,,,,sidhani kama mawazo yanaleta laana,huu ni udadisi tu wa kuhisi ilikuaje ukazaliwa,it is very normal mtu kuwaza mambo kama haya
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu vingine hatupaswi kuuliza kwani unadhani wanapatikanaje basi wewe walikuiba

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua miguu, au mama alipigwa gwaride hadi ukapitikana. Je ulishawahi kujiuliza mimi najiuliza ila sipatagi majibu.
HUKO UNAKOENDA SIKO, iko siku utataka kuwaona wanavyotenda, ni kipi hukijui hapo...? (hayo ni matusi)
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mie mama nilimuliza akanambia alipata mimba yangu Tanga walikwenda na Baba kumuona Bibi huko, kuzaliwa kanizaa ocean road hospital ambayo sasa ni hospital ya cancer, walikwenda kuangalia cinema ya kihindi inaitwa Julie basi kiminyano cha kuingia picha hakuimaliza ilibidi waende hospital ndio nikazaliwa mieee princess Shaimah......
 
Ni aibu kujadili jinsi mama yk na baba yako walivyofanya tendo la ndoa hadi ukapatikana wewe,ni sawa na kumvua mama yk nguo na kumkagua viungo vyake vya siri,Shame on u ...
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua miguu, au mama alipigwa gwaride hadi ukapitikana. Je ulishawahi kujiuliza mimi najiuliza ila sipatagi majibu.

Sishangai ulichoandika hapa. Avatar yako inajieleza.
 
Back
Top Bottom